Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,310
Wakuu heshima kwenu jamii Dr,
Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo.
Nimejaribu kuwauliza waungwana mbalimbali wameniambia that's mshipa au tezi dume. Kwakuwa mzee yupo kijijini na mimi nipo nae mbali kidoogo, naomba Wana jf doctor mnisaidie kama kuna dawa naweza kumnunulia kupoza au kumaliza kabisa hili tatizo wakati tunajiandaa kumpeleka hospitali kubwa for better treatments.
Asanteni.