Dawa ya mke mwenye wivu...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Mume: Mke wangu nadhani sasa ni muda muafaka wa kutafuta sekretari pale ofisini kwangu, kazi zimekuwa nyingi mno.

Mke: Ni kweli mume wangu usijezeeka bure, ila naomba utafute mwanamke mwenye sura mbaya kuliko wote.

Mume: Ok!! upo tayari kuanza kazi kesho asubuhi?
 
Kwa jibu hilo usishangae asubuhi KUZINDUKA UKIWA KITENGO CHA MIFUPA MUHIMBILI-MOI
 
Safi sana kwanini awaite wanawake wenziye wabaya hivyo yeye ndiyo mbaya wa mwisho pumbafu sake.
 
Hivi kuna mwanamke m'baya? Manake inategemea na jicho la muangaliaji aisee!
 
Mume: Mke wangu nadhani sasa ni muda muafaka wa kutafuta sekretari pale ofisini kwangu, kazi zimekuwa nyingi mno.

Mke: Ni kweli mume wangu usijezeeka bure, ila naomba utafute mwanamke mwenye sura mbaya kuliko wote.

Mume: Ok!! upo tayari kuanza kazi kesho asubuhi?
Kama huwa hawataniani, siku hiyo ni talaka
 
Back
Top Bottom