Dawa ya mende ni nini?

tumia ngao ya neti weka maji chupa moja ya soda kwenye dishi halafu koroga na ngao halafu chukua ufagio mwagia sehemu mende wanazojificha haipiti dakika tano watakufa wote nyumba itakuwa safi,kumbuka kama unanyunyiza na makabatini ondoa vyombo na nguo
 
Nyumbani KWANGU kila pahala ni mende, zimejaaa kwenye mafriji, kabati, na etc Ila usafi ni maximum,Why? Na nifanyeje?
Mkuu nenda kwa wanaouza dawa za kuua wadudu kuna dawa ya unga ipo kwenye packet ya kijani unamwaga ndani mende wanaifata wenyewe wanakufa wote mkuu. Me walinitesa sana but sasa hivi hakuna hata mmoja
 
Nyumbani KWANGU kila pahala ni mende, zimejaaa kwenye mafriji, kabati, na etc Ila usafi ni maximum,Why? Na nifanyeje?
Hiyo ni dalili wewe ni mchafu sana kupindukia,sasa nakuuliza swali mbadala,vipi chupi zako pale inapokaa asali mende hawajashambulia?.maana ukiwa mchafu mende hula pale katikati ya chupi mpaka ikatoboka,nazungumza hivi coz nilikuwa na demu niliemuacha ,alikuwa mchafu,kila mara chupi zake zililiwa pale katikati,yaani kwenye utoko au ukoko aliobakiza baada ya shughuli yetu.
 
Kama ni mwanamke tafuta manii kutoka kwa mwanaumwe yoyote wa jirani yako halafu chemsha maji changanyia na manii poja na maji ya limao....mwagia kote ambako unaona ni maficho ya mende...ndani ya siku moja tu....kila kitu kwsiha
Atafute manii ya mwanaume wakati chupi yake umejaa manii na ndio maana mende hawachezi mbali,wewe unamshauri kitu gani?hujui mende wanapenda manii ya kiume saana coz ni full protein,hushangai mende hula pale katikati ya chupi za mademu pale inapokaa mbunye,hujui kwa nini?
 
Wewe ni mchafu, kama usafi ni maximum sasa mende atoke wapi? Pulizia dawa nyumba yote hadi chooni na Dari, hutaona mende.
Tatizo hafui chupi zake kwa wakati muafaka,natoa somo kwa mademu,ukiacha chupi chafu chumbani lazima mende waje,coz mende wanapenda sana manii ya mwanaume na utoko wa mwanamke,yote hiyo ni full protein.
 
Fuata kanuni hizi za afya
1. oga angalau mara mbili kwa siku,
2. piga mswaki asubuhi na kila baada ya kula chakula,
3. fua nguo zako,
4. pasi nguo zilizofuliwa,
5. kunywa maji safi na salama,
6. kula chakula bora,
7.osha viombo vyako,
8 safisha mikono yako mara baada ya kutoka maliwatoni,
9.safisha maliwato yako vizuri,
10. safisha nyumba yako vizuri,
11. fanya ngono salama, na
12 lala na neti
 
Mkuu, dawa ya mende ni usafi. Jitahidi kutoacha vyombo vyenye mabaki ya chakula vikizagaa zagaa ovyo. hakikisha jioni baada ya kula vyombo vyote vimeoshwa hapo utawakosesha chakula na ukichanganya na kupuliza dawa kama rungu, doom au expel utakuwa umepunguza kama siyo kuondoa kabisa tatizo la ng'ese. all the best
 
Hao sio Mende asee, fanya Ibada ndogo na maombi kiaina.... Na kuna namna ya kuwakimbiza hao wadudu. Walokole wanajua. Nilikuwa na mwanamke mmoja mlokole hata sisimizi wakipita ndani anawatwanga maombi wanasepa.

Usichukulie poa.
Dah huwez amini nimestuka in the middle of the night nakuta mende ananitambalia usoni. Na net nimeshusha sasa hiki ni nini? Natafuta dawa instant ya kuwaondosha hawa wadudu wamekuwa kero xtremely! Kuna kikabati cha pembeni ya kitanda ndipo makazi yao yalipo. Tafadhali nipe sumu ya kuwamaliza instantly! Nimefedheeka sana mpaka naanza kuogopa sasa huenda hawa si mende kama navyodhania!
 
Dah huwez amini nimestuka in the middle of the night nakuta mende ananitambalia usoni. Na net nimeshusha sasa hiki ni nini? Natafuta dawa instant ya kuwaondosha hawa wadudu wamekuwa kero xtremely! Kuna kikabati cha pembeni ya kitanda ndipo makazi yao yalipo. Tafadhali nipe sumu ya kuwamaliza instantly! Nimefedheeka sana mpaka naanza kuogopa sasa huenda hawa si mende kama navyodhania!
Expel, dawa ya sanduku, usafi na usiweke chakula nje. Nunua ndio uhifadhi vyakula vyote.
 
Kuna dawa watu wa fumigation wakiniwekea nyuma ya milango. Inawakausha mende. Niliwafaigia. Sikuhizi hata vitu huu ninaweka kwenye jokofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom