Dawa ya mdomo...!

Dawa ya mdomo...!

Mpaka kuleta hapa means unampenda mpenzi wakona upo tayari kumsaidia kama umechukulia ni tatizo ingawa hatua ya kwanza take it as a fun thing,af unamtania usiku akilala atashtuka,au unakuwa unamfunga ad ashtuke atafunga mwenyewe.
Kama hanuki,hakoromi.just wazi tuu.. Waii sio tatizo bana, ni uchovu tu na jambo la kawaida.

Nb: never mind useless and hopeless minded people,who are always after discouragement. . Watu wengine wana automatic laana so wapotezee.

Swts ur grear woman, thanks alot..
 
Huyo mpenzi wako inaelekea anaongea sana mchana. Ni tatizo la kawaida sana. Nna rafiki yangu mmoja alikua anaongea sana mchana kutwa ikifika usiku alikua analala mdomo wazi. Labda kama kuna msaada mbadala wa kumsaidia ila naona kwa kuanza mshauri apunguze kuongea sana mchana inaweza kusaidia.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kazi ipo, hivi ndugu wewe ukilala usiku kazi yako ni kumchungulia tu mtoto wawatu? wewe usingizi huna? Anyway kuna style nyingi za kuweka viungo wakati mtu umelala. Tena ushukuru MUNGU huyo anaacha mdomo wazi, wengine hawapati usingizi mzuri bila kukuwekea mguu juu ya shingo yako. Mvumilie tu.
 
Mhhhh! lol! hii ya leo kali!!!! Njemba inatafuta dawa ya kumsaidia mlimbwende asilale mdomo wazi!!!! Dah!!!!! Si ajabu hili linaweza kuzua ugomvi mkubwa ndani ya mahusiano!!! kwanini unalala mdomo wazi!!!

Mkuu hii nyimbo inatesa sana watu. Wakiisikia kila kitu kinasimama na wanakuwa katika dunia tofauti kabisa ya maraharaha na hupigwa hata mara 50 au zaidi kwa siku lol!




Mambo ya aerosmith - don't wanna miss a thing ( BAK ) sio! hata hutamani kulala...eheheh... basi inabidi kila akiwa anamuangalia amfunge mdomo!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mpenzi wako inaelekea anaongea sana mchana. Ni tatizo la kawaida sana. Nna rafiki yangu mmoja alikua anaongea sana mchana kutwa ikifika usiku alikua analala mdomo wazi. Labda kama kuna msaada mbadala wa kumsaidia ila naona kwa kuanza mshauri apunguze kuongea sana mchana inaweza kusaidia.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hili nalo neno
 
Back
Top Bottom