Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Kama kichwa cha habari kijielezavyo naombeni msaada wa dawa ya mbu kuna mtaa nimeingia kama wiki mbili zilizopita hapa Tanga yaani natamani kutoa damu kwa hiari niwape kuliko hiki nachofanyiwa na hawa wadudu.
Nipo nje natafakari namna ya kulala, Msaada tafadhali.
NB: Chandarua hakuna
Nipo nje natafakari namna ya kulala, Msaada tafadhali.
NB: Chandarua hakuna