Dawa ya madereva walevi.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,556
4,351
dangerous%20roads01.jpgMadereva wote wenye tabia ya kuendesha magari wakiwa wamelewa inafaa wajengewe nyumba za kuishi nyuma ya huu mlima.
 
Lakini huo Mlima au hiyo Barabara haipo hapo bongo? Au Serikali ijenge hivyo kuwakomowa Madereva Walevi? Je Serikali yetu yaweza kufanya hivyoooooooooooooo?
 
dangerous%20roads01.jpgMadereva wote wenye tabia ya kuendesha magari wakiwa wamelewa inafaa wajengewe nyumba za kuishi nyuma ya huu mlima.

nadhani pembeni ya mlima huu yawe makazi ya celebs kama chenge, tid na majaji. Nadhani watarudi nyumbani mapema.
 
sehemu hiyo inafaa kwa test za leseni, bongo wangeendesha wachache...:hippie:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom