St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,634
- 4,519
Madereva wote wenye tabia ya kuendesha magari wakiwa wamelewa inafaa wajengewe nyumba za kuishi nyuma ya huu mlima.
Lakini huo Mlima au hiyo Barabara haipo hapo bongo? Au Serikali ijenge hivyo kuwakomowa Madereva Walevi? Je Serikali yetu yaweza kufanya hivyoooooooooooooo?
Madereva wote wenye tabia ya kuendesha magari wakiwa wamelewa inafaa wajengewe nyumba za kuishi nyuma ya huu mlima.
We ujatulia mwana...tehtete