Huwo msemo nimeanza kuusikia siku nyingi na haubadili sema matukio ndiyo yanabadilka, wenyewe uko pale pale!
Mkuu hiyo ndio siasa uchwara , jiuleze je Lowassa angebaki ndani ya ccm Chadema wangemsafisha.
Issue sio ufisadi tu...
Lowassa hana uwezo wa kuwa rais...hana utofauti na Membe..hapo bado hatujagusia suala la afya
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.
kuna anayeweza kuzuia greda?
Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Lakini watafute na majibu ya swali la
1. " Kwa nini iwe sasa??!!"
2. "Je asingehama!!??"
hakuna anayeweza kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Hata wakati wa mchujo wa mwanzo wa CCM mlisema hivihivi lakini wazee wa kazi wakampiga panga. Teh teh teh teh
ukweli wa ccm leo utakuwa uwongo wenye kunuka mbele ya wa TANZANIA !!
LOWASSA NI MTU MTAKATIFU NDANI YA NAFSI ZA WATANZANIA 80% WATAKACHO ONGEA CCM MDA HUU NI SAWA NA MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA!!