mnaacha kutafuta dawa ya umaskini wa watanzania mnatafuta dawa ya kumzuia lowasa. hakika nipo kwenye mipango ya kuhama nchi nikaishi somalia
Lakini watafute na majibu ya swali la
1. " Kwa nini iwe sasa??!!"
2. "Je asingehama!!??"
the downfall of ngoyai is imminent
Ni jambo la kawaida katika siasa na maisha kwa ujumla. You deserve an attack when you become a threat. It's that simple!Lakini watafute na majibu ya swali la
1. " Kwa nini iwe sasa??!!"
2. "Je asingehama!!??"
AYAA.. hakuna atakae baki hata mwakyembe atakwenda na maji kwa kuficha uchafu mfukoni a.k.a mavi na yeye ni mchafu.hiyo itakuwa powa sana na kama itafanyika hivyo basi ni nzuri sana kwa munufaa ya watanzania wote na kwataifa. hakika ile siri na sintofaham ya mda mrefu soon itafahamika maana hakika mashaka yote kuhusu lowasa yataanikwa na vipi yy fisadi itafahamika na lowasa naye najua kamwe hata kaa kimya atajibu mashambulizi sasa hapo ndio patamu yale mambo ya mwaga ugali ni mwage mboga ndio yatakapotokea so suala la RICHMOND litakuwa wazi kabisaaa maana hata bunge lilishindwa kutuwekavwazi nani mhusika mkuu
Hatimaye chama tawala,CCM,kimepata dawa ya kumdhibiti mgombea wa Urais kupitia CHADEMA/UKAWA,Ndugu Edward Ngoyai Lowassa. Dawa husika inatengenezwa na wapambanaji wa ufisadi hapa nchini ambao wameapa kumuanika Lowassa ili watanzania wamjue. Tayari mikakati ya mtu-kati imesukwa.
Katika timu hiyo, itakayoshiriki bega kwa bega katika kampeni za kumnadi Magufuli,wanatajwa Sitta,Mwakyembe,Ole Sendeka,Mwigulu Nchemba,Lusinde aka Kibajaji na Nape Nnauye. Pia wapo wanaKitengo.
Upepo wa Lowassa umeonekana kuvuma kwa kasi ukisomba na kupeperusha watu na vitu. Tishio linakaribia mwisho zitakapoanza kampeni. CCM iko vizuri,itamdhibiti hadi awe mahututi kisiasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
huu upepo grade ya hurricane katrina.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/906173-mwenyekiti-mgeja-anangoka-ccm-muda-huu.html
Kwahiyo strategy CCM watajimaliza mapema sana!! Why? LOWASSA NA UKAWA wataweka hadharani mambo ya Escrow, uhusika wa mkulu Richmond, Ufisadi katika miradi ya barabara(Magufuli), uuzaji wa nyumba za serikali(Magufuli), Utajiri wa kutisha wa JK kupitia Rizimoko!!
Kwa kifupi, Ukawa wataelekeza silaha zao kushambulia mfumo wa CCM kama chama then Magufuli personally. Therefore wana two points of attack!!! CCM on the other hand wana one point of attack....kumshambulia LOWASSA personally only if they really need to destroy UKAWA!!!
Kwa Mgeja si jambo jipya....Huyu ni mfuasi namba moja wa Lowassa...Alipo Lowassa naye yupo...
Hakuna jipya hapo...
Mkuu nadhani unasahau point ya msingi, point hapa si ufisadi..Mark my words, watu wanaona ni bora huo ufisadi ufanywe na mtu wa chama chochote hata UDP lakini siyo na mtu kutoka CCM, so point hapa si ufisadi. Na hili ndilo CCM mnakosea mnadhani watu mnashindana na watu kwa moja, yaani mwe na hoja msiwe nayo issue ni kutoa CCM madarakani tu.
Usiombe kufanya ushindani na mtu aliyekata tamaa, na watu wamekata tamaa na CCM.