Boflo, usijadanganye bwana, hili ndio limbwata lenyewe
Katika wachawi wakubwa duniani Wajerumani wanachukuwa namba baada ya Wayahudi (Jews), hata hapa kwetu Tanzania visa vyao vya kufukia mali toka enzi waliyotawala Tanganyika na kuzifunga kiuchawi ni vingi tu na havija mjadala.
Nakubaliana nawe kuwa hilo ni limbwata.
yule pweza kachukuliwa msukule na kafichwa kisiwani Mafia. (usiwaambie watu, hizi ni taarifa za kiintelijensia by Kova)Ni kweli nimekuamini, na ndio maana yule pweza wa Ujerumani alitabiri mechi za worldcup bila hata kukosea mechi hata 1
Hio inaitwa industrialized Limbwata hamna chochote wala lolote, linapatikana hat bongo niliwahi kumuomba my wife wangu aniwekee ili nisipate shida sana maana huwa napoteza network nikikutana na hawa Malaika
Sasa ikawaje?? hebu malizia my wife wako akasemaje?