Dawa ya Kuzuia Nyumba ndogo

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
121116221306_cuddle_drug_304x171_internet_nocredit.jpg
Dawa ya kuzuia nyumba ndogo


Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle*mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa futi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.

Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.

SOURCE BBC

Kazi kwako sasa snowhite najua utaifurahia sana
 
Last edited by a moderator:
ahahhahah mwaya bora ila najua kuna watu watatokaje mapovu hapa wakiamka?lol
ahsante my dear Boflo hii ikija najua utapiga bei ile massage parlour uninunulie au haitakuwa that expensive?
BTW bado kuna mtu anaendelea kusema wadhungu hawacheat?
 
Last edited by a moderator:
Boflo, usijadanganye bwana, hili ndio limbwata lenyewe

Katika wachawi wakubwa duniani Wajerumani wanachukuwa namba baada ya Wayahudi (Jews), hata hapa kwetu Tanzania visa vyao vya kufukia mali toka enzi waliyotawala Tanganyika na kuzifunga kiuchawi ni vingi tu na havina mjadala.

Nakubaliana nawe kuwa hilo ni limbwata.
 
Katika wachawi wakubwa duniani Wajerumani wanachukuwa namba baada ya Wayahudi (Jews), hata hapa kwetu Tanzania visa vyao vya kufukia mali toka enzi waliyotawala Tanganyika na kuzifunga kiuchawi ni vingi tu na havija mjadala.

Nakubaliana nawe kuwa hilo ni limbwata.

Ni kweli nimekuamini, na ndio maana yule pweza wa Ujerumani alitabiri mechi za worldcup bila hata kukosea mechi hata 1
 
Hio inaitwa industrialized Limbwata hamna chochote wala lolote, linapatikana hat bongo niliwahi kumuomba my wife wangu aniwekee ili nisipate shida sana maana huwa napoteza network nikikutana na hawa Malaika
 
Hio inaitwa industrialized Limbwata hamna chochote wala lolote, linapatikana hat bongo niliwahi kumuomba my wife wangu aniwekee ili nisipate shida sana maana huwa napoteza network nikikutana na hawa Malaika

Sasa ikawaje?? hebu malizia my wife wako akasemaje?
 
Sasa huyo mke akikuacha inakuaje?
Mbaya zaidi akifa ndio unabaki mjane maisha.lol!

Ni nzuri kwa kupunguza speed ya hawa viumbe dhaifu(wanaume) but ni bora kabla hatujaitumia tuaanishe madhara yake pale ambapo mke anakuwa kamchoka mume au kafa!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom