Dawa ya kutokomeza kuchepuka

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
1476718_259371571063072_5704582831205176265_n.jpg
 
Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.

Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.

Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.

Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
 
wewe mtoto weeee NDUKI
 
Inawezekana una siri nzito sana
 
daah nadhani mshana jr,mzizimkavu au pasco wanaweza kutusaidia kujua yanayokusibu mkuu
 
U must b joking
 
Hahaaaaa halafu hicho kimkia kinataka kumdungua wapi??? Na ushabanwa hivo.........walahi hurudii kuchepuka
 
daah nadhani mshana jr,mzizimkavu au pasco wanaweza kutusaidia kujua yanayokusibu mkuu

Unajua mkuu, inaweza ikaongelewa tu kama habaripicha au kama story tu za vijiweni ama za kusadikika, ila.

Kitanda usichokilalia kamwe huwezi juwa kunguni wake.
 
Mkuu, maisha nnayoyapitia kiongozi ni MUNGU pekee ndio anajua.

Inafika kipindi huwa nasema MUNGU asingeuumba usingizi au mtu angechagua kulala au kuwa macho. Daima ningekuwa macho mkuu usiku una mambo mazito mno.

Acha tu kiongozi.
Mwite Yesu mkuu amshirikishe mambo yako nae atakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom