Dawa ya kutokomeza kuchepuka

Dawa ya kutokomeza kuchepuka

Mkuu, huyu kiumbe yuko na mimi zaidi ya miaka 20 sasa mpaka pale alipoamua kujitokeza live alikuja kama binadam.

Tumehangaika sehem nyingi lakini ni kwamba katika kuhangaika anaweza akakimbia lakini hali ikitulia anarudi tena, usiku naona mambo ya ajabu mno.

Kwa sasa kuna mambo naendelea nayo katika kumuweka sawa kadri mambo yatakavyokuwa ntawaletea update kiongozi.

Lakini mkuu, haya mambo yapo kabisa kiongozi japo baadhi ya wengi huona hizi story ni kama porojo kwa sababu dunia vile wanavyoifkiria ni zaidi ya vile wanavyoichukulia mkuu.

Acha tu ndugu yangu.
Mkuu kwan sio watamu kwa kutafuna? Nyonga si wanakata vzr tu sasa kwann unamkwepa? Ningekuwa mm Ningekuwa namgegeda kila siku
Mpaka angekuwa anahofia kuja kwa kigegedo ambacho angekipata
 
Mkuu kwan sio watamu kwa kutafuna? Nyonga si wanakata vzr tu sasa kwann unamkwepa? Ningekuwa mm Ningekuwa namgegeda kila siku
Mpaka angekuwa anahofia kuja kwa kigegedo ambacho angekipata

Adhabu ya kaburi mkuu, anayeifaham ni maiti tu kiongozi.

Usione watu wanatembea, wanaishi vizuri, wanakula wakitakacho, wana majumba, magari ya kifahari lakini.

Wanakutana na mengi mno kiongozi, acha tu.

Kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake mkuu.

Shukran.
 
Sasa huyo juu pichani hapo labda kafumba macho kwa raha,akija kufumbua au kuamua kumgusa mwenzie katk kujiokoa cjui kama ataweza hata kuokota boksa...Na kama yuko mbagala kwake mbezi atakimbia hivyohivyo hadi home
 
Adhabu ya kaburi mkuu, anayeifaham ni maiti tu kiongozi.

Usione watu wanatembea, wanaishi vizuri, wanakula wakitakacho, wana majumba, magari ya kifahari lakini.

Wanakutana na mengi mno kiongozi, acha tu.

Kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake mkuu.

Shukran.
Ugumu unakuja kama ulimtafuta lakn kama amejipendekeza mwwnyewe aaaah mm namgegeda mpaka angekuwa mpole
 
Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.

Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.

Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.

Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
***
so akinogewa sana ana-loose control na kugeuka buibui au nge au tandu du!/ lakini mambo yako so safiii! kiuchumi./
 
Usiende kwa waganga wa kienyeji maana hao ni wa moja wanamawasiliano katika ulimwengu wa giza Tafuta kanisa ambalo wana mhubiri yesu anayeokoa simama katika wokovu hakika unayoyapitia yatakuwa historia
Nakusihi tena usimalize pesa zako kwa waganga maana huko wanakutwisha na mapepo mengine kwa yesu uponyaji ni bure ni wewe kujitoa kwake tuu
 
Dah, mnajua mmeyapeleka mawazo yangu mbali sana wakuu wala sio kuchepuka.

Nimejikuta nikimkumbuka JINN wangu huwa wanajisahau wakizidiwa na HISIA na kujikuta wakibadilika wanapokuwa kwenye HISIA ZA JUU sana za mapenzi na kushindwa kuji-control miili yao na kukuta akibadilika kuwa kiumbe tofauti kabisa.

Sasa, kama ukishtuka na yee hurudisha HISIA zake haraka mno kama una moyo mdogo unaweza usiendelee ku-sex nae ukatoka NDUKI.

Acheni tu wakuu dunia ina mengi hii, acheni tu.
Kama nikweli vile
 
1476718_259371571063072_5704582831205176265_n.jpg

Huyu kiumbe me ndo dawa yake ... mleteni kwangu ataondoka na mimba ya mapacha sita!
 
Hapo mbona unapiga pipe tu! Tena kitu cha mende mfu, mbna atasema tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom