Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Shukran mkuu, iwe baridi au vuguvugu?Atengeneze juisi ya ukwaju, iwe nzito kama uji mwepesi. Anaweza kuchanganya na asali (hata sukari) ili kupunguza uchachu , kisha anywe kama glasi mbili hivi. Baada ya kama saa moja hivi shughuli itaanza.
Iwe vuguvugu
Shukran mkuu, nitamueleza aichukue, shukran sana.Atumie castor oil ya kutosha..... hiyo itazibua faster.... ipo kwenye maduka ya madawa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafute kati yafuatayo.Salaam wakuu, hvi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo /kusababisha kuharisha?? Jirani yangu ameniomba nimshauri lkn nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia kuharisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
AloveraSalaam wakuu, hvi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo /kusababisha kuharisha?? Jirani yangu ameniomba nimshauri lkn nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia kuharisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha, sawa mkuu. Na kweli anatafuna mbuzi kweli kweli.Anunue papai zima ale baada ya mda ataenda choo vizuri tu. Alafu mwambie apunguze kula nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hii juisi nilitengeneza mwaka jana hakika ni tiba nzuri mno na inafaa sana kwa kusafisha tumbo nakumbuka nilinunua mafungu 2 ya ukwaju nikasafisha vizuri na maji ya vuguvugu kisha nikatengeneza juisi nzito ya ukwaju na nilitumia kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6.Atengeneze juisi ya ukwaju, iwe nzito kama uji mwepesi. Anaweza kuchanganya na asali (hata sukari) ili kupunguza uchachu , kisha anywe kama glasi mbili hivi. Baada ya kama saa moja hivi shughuli itaanza.
Ha ha ha, pm yko itajaa sasa hvi mkuu.kuna dawa moja hivi ya kimasai ya mizizi inachanganywa na supu. ni chungu sana ila mziki wake si wa kitoto. unaweza kuharisha nje ndani. ni nzuri sana maana inakufanya uwe stebo kwenye mambo mengi.
kwa nini mkuu? mimi sio maasai eroo! ila mara nyingi nakaa nao
Hiyo nakumbuka niliinywa NATRON hiyo ni habari ingine!nadhani ni the best kuliko zote duniani.maana baada ya hapo unakuwa mwepesi km messikuna dawa moja hivi ya kimasai ya mizizi inachanganywa na supu. ni chungu sana ila mziki wake si wa kitoto. unaweza kuharisha nje ndani. ni nzuri sana maana inakufanya uwe stebo kwenye mambo mengi.
nakubaliana na weweHiyo nakumbuka niliinywa NATRON hiyo ni habari ingine!nadhani ni the best kuliko zote duniani.maana baada ya hapo unakuwa mwepesi km messi
Sent using Jamii Forums mobile app