Dawa ya kuondoa/kupunguza ndevu

Dawa ya kuondoa/kupunguza ndevu

Ndevu hadi shingoni? una nyota ya nyani

tumia maji ya limau
 
Sema wazi shemeji ana ndevu

Kukusaidia hio.n.mambo ya hormones so cheki na kakekajamaa cha clouds dk mwaka kanaweza saidia..kama n wewe kweli hiyoukwep
 
Nenda hospital za kichina watakusaidia manake wale sijawahi waona wakiwa na shehena ya ndevu
 
Watu wengi wamekua wakisumbuliwa na hormonal imbalance ambazo hueleta ndevu na vinyweleo mwilini.

Je dawa ni nini kutibu hili tatizo au kuna madaktari wanaotibu haya matatizo na yakaisha kabisa???
 
hiyo dawa mbona nimeitafuta sijafanikiwa.

ipo maduka gani? au ofis zao zipogi wapi?

maana hapa ndevu zinasumbua balaaa.
 
Weka picha kama ni tatizo nione..if posible nikupe dawa
 
Back
Top Bottom