Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
duuuuuuhh...!!!
Nijuavyo mimi hiyo dawa ipo, ila inasemekana ina madhara kwani hizo nywele zinakuwa ndani kwa ndani bila kutoka nje na baadae hutengeneza kitu kama uvimbe.
Mi naona usilazimishe mambo kama huzitaki, jitahidi kunyoa mara kwa mara.
ndevu nyingine mzinguo!' unanyoa saa6 mchana, saa12 jioni zimeshaanza kuota. Kungekua na dawa isiokua na madhara, hata mimi ningeshapaka siku nyingi.
hii mpya?
ila mindevu inasumbua kweli ukinyoa leo siku mbili nyingi hizo apo tena
Wadau naomba mnifahamishe kama kuna dawa ya kuzuia ndevu kuota au kufanya zichelewe kuota.