Kunywa pombe kwa polepole....mfano 1Beer uinywe zaidi ya dakika 40.yani uwe unaweka interval ya dakika 40 kwa kila beer unayokunywa.Siku zote nimekua nikisumbuliwa na mning'inio siku ya 2 baada ya kutumia kilevi tafadhali anayejua tiba(sio kuacha utumiaji)anijuze..
Siku zote nimekua nikisumbuliwa na mning'inio siku ya 2 baada ya kutumia kilevi tafadhali anayejua tiba(sio kuacha utumiaji)anijuze..
Mtaalam mmoja kanieleza sababu zote zilizotanjwa humu zinafanya kazi kama ukinywa bwaksi la kiasi vinginevyo dawa ni KULALA tena baada ya kuamka japo kwa masaa 3,hakuna fomula kamili ni USINGIZI tudawa yake unaweza kushtua na mbili tena au ukanywa supu yenye pilipili nyingi na maji baridi au kula matikiti maji au oga na maji barid sana zote hizo ni dawa na nzuri kuliko zote ni kunywa kwa wastan usilewe sawa kijana
Mtaalam mmoja kanieleza sababu zote zilizotanjwa humu zinafanya kazi kama ukinywa bwaksi la kiasi vinginevyo dawa ni KULALA tena baada ya kuamka japo kwa masaa 3,hakuna fomula kamili ni USINGIZI tu
ndo tatzo la pombe za bure hzo