Dawa ya kunenepesha

Dawa ya kunenepesha

sijui,ila we mwembamba kiasi gani mpaka utumie dawa?
si ule tu misosi ya nguvu
 
Mbuzi katoliki, chipsi sekela za pale mamboz corner (weka mayonaise nyingi sana), biere, mbuzi mbuzi hivi na kuku, breakfast unapiga omelet ya maana na juice ya kutosha, na vitu kama hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom