Chililo
Senior Member
- Mar 22, 2013
- 150
- 114
Wadau hamjambo!!
Nauliza, hivi kuna dawa ya kuweza kumvuta mpenzi wako, ambaye ameamua kukuacha. Yaani mpenzi wako kakuacha na kuamua kukublock ili msiwasiliane huku akijiapiza mbele ya rafiki zake kuwa haitokaa arudiane na wewe. Kuna rafiki yangu imemtokea hii.
Hivyo mpaka sasa anasononeka kwa mawazo. Mwenye ufahamu juu ya hili. Karibu tuyajenge!!