Dawa ya kucheat yanapatikana

mtafutano

Member
Oct 28, 2012
11
2
DAWA YA KUCHEAT IYO
Wanasayansi wana mambo!
121116221306_cuddle_drug_304x171_internet_nocredit.jpg
Dawa ya kuzuia nyumba ndogo

Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle*mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.
BBC Swahili - Medianuai - Mkeo aweza "kunusa" uoga wako
source
 
inauzwa wapi?
Ukimu-overdose mtu anaweza kufa?

Wajane wasije ongezeka bure
 
Sasa hii ni ile wanayopewa wanaume tu, sasa kama mwanamke naye si mwaminifu anapewa ipi? Au utafiti bado unaendelea? Maana naona dawa hii itakuwa inapendelea 'gender' fulani!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom