Wanaume viruka njia sasa kwishney! Kina dada, sasa dawa hii hapa.

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle­mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.

Tunaomba wafanyabiashara wachangamkie kuzileta haraka sana kwani hali si shwari hapa tz.
 
m'mbanu....chifyakwaaa....a a.....over my dead body ooo....m m.....
 
Walahi kama ni kweli.. hii dawa itatusaidia sana maana waume zetu watatulia sana kuwa na tabia za U-kiwembe hatimaye nyumba ndogo zitaondoka zooote taratibu!
 
Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle*mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.

Tunaomba wafanyabiashara wachangamkie kuzileta haraka sana kwani hali si shwari hapa tz.
hii ya kiganga hii
 
Kama akifa je
 
Walahi kama ni kweli.. hii dawa itatusaidia sana maana waume zetu watatulia sana kuwa na tabia za U-kiwembe hatimaye nyumba ndogo zitaondoka zooote taratibu!

Si mpaka nikubali kuinywaaaa !!!!!!!!!
 
Mm sintokubali atumie kwa kweli naona atakua si yeye mwanaume ni binadamu si mnyama atajirekebisha vp kuhusu wanawake wakware utakuta wanajipendekeza kwa mwanaume basi kabla ya kufikiria hyo dawa nasi wanawake tubadilike tuheshimiane tusikomoane kuchukuliana wanaume dawa ya nn basi hatari kama binadamu hawezi badilika mpaka kwa msaada wa dawa makubwa.

Nayanda.
 
me staki hii dawa, akinichukia kabisa akahamia nyumba ndogo je? maana ndoa za sikuhizi anayemjua mkewe ni mume, unaweza kujua wewe ndio mke kumbe kuna mke zaidi yako lol.....
 
Inakuwaje sasa ukiachana na mkeo maana yake kupata mke mwingine uwezi tena.......Mhm wafikiri upya
 
Maelezo hayajitoshelezi kuonyesha ni namna inafanya kazi. Hata hivyo sioni kama itachangamkiwa na watu
 
Sioni uhalisia wowote katika hiyo dawa, maana inaonekana yenyewe inarepell kwa wanawake warembo. Hiyo dawa imetengenezwa katika assumption ya kwamba wanawake walioolewa si warembo. Maana kama na mke uliyenaye ndani ni mrembo pia ina maana itarepell kwake. Na hivyo kupelekea kuvunjika kwa ndoa. Au hii dawa itachaguaje kwamba huyu mrembo ni mke wangu na mrembo mwingine si mke wangu? Huku ni kutapa tapa tu kwa binadamu.
 
wee ndo unageuka kuwa kimada

chadema sasa ni chama cha upinzani, ila kikiingia madarakani ccm inakuwa chama cha upinzani

hahahahahah! basi ngoja nitafute mume wa mtu nimuwekeee! hahahah! huyu wangu nahisi kashawekewa na kimada! lol!
 
Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle­mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.

Tunaomba wafanyabiashara wachangamkie kuzileta haraka sana kwani hali si shwari hapa tz.

Ukimpa mkeo akampenda house girl utamlaumu nani? Kwani anayesababisha kupendana ni dawa au hiari ya mtu?
 
Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle­mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.

Tunaomba wafanyabiashara wachangamkie kuzileta haraka sana kwani hali si shwari hapa tz.

Mbona maelezo yake yako kama limbata? au ni limbwata la kizungu???
 
Hapo mbona patamu, nyumba ndogo anakuwekea na mkeo nae anakuwekea hiyo dawa, bila kusahau kicheche chako cha chuo nacho kinakuwekea.. Mchanganyko wake hapo unakuta unampenda beki 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom