had huruma angebaki na flat screen yake tu
wanaume mnapenda viboga
Mnasababisha wadada wanaozaaa
Wanajiremba kwa ajili yenu
Pole yake!
Tehe ukija room kwangu utakuta mafuta ya Johnson beb Na kitana basi. Huo urembo wa muda ata siwezi.Ww hujirembi kwa ajili yao? Ila inasikitisha sana hyo pic.
Pole ya nini mkuu wakati hakugaiwa kanunua mwenyewe.
[/QU
OTE]
Kinachoshangaza ni hiyo dawa kutumiwa hadi karibia ya magoti... hivi ingekubali si tako lingeota gotini?!...