Dawa ya kichina kuongeza makalio yaoza!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
tk1.jpg
 
watt wa kiume tuache kupenda wanawake wenye mpododo..ona wanavyojiaharibu..huyo kinachofwata ni kukwatwa kiwiliwili tu
 
Africa ndiyo victims wa hayo makitu mbona wachina wenyewe hawayatumii
 
Jifunzeni kupitia huyo dada. CC wadada wote wanaotumia madawa ya kuongeza Maumbile yao, eg hips, manyonyo, mpododo nk.
 
Back
Top Bottom