Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,646
- 23,280
daaah😂😂🙌🏾wadudu wanatoka unapotema unawaona waleeee
daaah😂😂🙌🏾wadudu wanatoka unapotema unawaona waleeee
sawa sawa mkuu asanteHalafu kwa taarifa yako sababu za kuumwa meno zipo nyingi ila mtaani wwnakubia Kuna mdudu?😃😃
Ni kweli wapo bacteria ambao usababishwa na mabaki ya chakula hasa vya sukari ambao hawaonekani kwa macho na wao hajisaidia acid ambayo hushambulia jino Kwa juu na ndio uoza na kukuta zile neva za chini ambazo zikisikia baridi shida , joto ,shida , chakula kikigusa shida. Wakati mvua zinakaribia kuonyesha nenda hospitali utakuta wagonjwa wa meno wamejazana.
Yapo magonj w mengine ya fizi
Lakini kama una tatizo la acid reflux inamaana hydrochloric acid ikitokea tumboni na kupanda kukutana na meno hulainisha meno na kuyaboboa hadi neva za ndani zinaanza kuwa exposed ila mtaani utaambuwa " inatolewa mdudu kwa ndulele na Bomba la mpapai halafu utatoa ushukuda nimeona wadudu kabisaaa!! bacteria anaonekana kwa macho?
naushahidi wa baba yang anakaribia miaka 70 ajawah kutoa jino ndo aliniambia B29 inatibuWewe jino hulijui. Kinaweza kukupumzisha hata miaka 2 ukadhani umepona Ipo siku usiyoijua Wala saa litakutupuka utatamani ukatenkichwa kabisa ili uwe umeyaondoa meno yote
ukiendelea ni suala la muda tuNinapenda kula bites biscuits siku hizi ila namshukuru Mungu Sija pata kadhia ya changamoto,
Sio Kila mtu hushambuliwa na magonjwa ya meno.Wapo watu Wana miaka 105 hawajawahi kungoa jino hata Moja. Fact that hajangoa jino na umri wake mdogo wa miaka 70 haihalalishi sabuni hiyo kuwa ndio omesababishanaushahidi wa baba yang anakaribia miaka 70 ajawah kutoa jino ndo aliniambia B29 inatibu
ni kwelSio Kila mtu hushambuliwa na magonjwa ya meno.Wapo watu Wana miaka 105 hawajawahi kungoa jino hata Moja. Fact that hajangoa jino na umri wake mdogo wa miaka 70 haihalalishi sabuni hiyo kuwa ndio omesababisha
Wadudu wanaoharibu meno ni wakubwa kiasi cha kuonekana kwa macho???wadudu wanatoka unapotema unawaona waleeee
Sabuni kwa ajili ya kuogea wewe unaswakia?
Sabuni ya kufulia (laundry soap) hiyo.Sabuni kwa ajili ya kuogea wewe unaswakia?
inatengemeana na mgonjwa kuna mgonjwa ambaye wadudu wamekua wakubwa wanaonekana wengine hawaonekan kwa machoWadudu wanaoharibu meno ni wakubwa kiasi cha kuonekana kwa macho???
Unaonekana una ufahamu na maswala ya kinywa na meno.Halafu kwa taarifa yako sababu za kuumwa meno zipo nyingi ila mtaani wwnakubia Kuna mdudu?😃😃
Ni kweli wapo bacteria ambao usababishwa na mabaki ya chakula hasa vya sukari ambao hawaonekani kwa macho na wao hajisaidia acid ambayo hushambulia jino Kwa juu na ndio uoza na kukuta zile neva za chini ambazo zikisikia baridi shida , joto ,shida , chakula kikigusa shida. Wakati mvua zinakaribia kuonyesha nenda hospitali utakuta wagonjwa wa meno wamejazana.
Yapo magonj w mengine ya fizi
Lakini kama una tatizo la acid reflux inamaana hydrochloric acid ikitokea tumboni na kupanda kukutana na meno hulainisha meno na kuyaboboa hadi neva za ndani zinaanza kuwa exposed ila mtaani utaambuwa " inatolewa mdudu kwa ndulele na Bomba la mpapai halafu utatoa ushukuda nimeona wadudu kabisaaa!! bacteria anaonekana kwa macho?
Tutamshauri Max arudishe gharama ya matangazo yenye viashiria vya kibiashara.wadudu wanatoka unapotema unawaona waleeee
Hoja hii inafikirisha kidogo.inatengemeana na mgonjwa kuna mgonjwa ambaye wadudu wamekua wakubwa wanaonekana wengine hawaonekan kwa macho
fanya utafiti mkuu huwa wanatoka pamoja na damuHoja hii inafikirisha kidogo.
Ameitanabahisha jamii -kitu ambacho ni kizuri ili kushare na wengine; sio huyo anasema eti wadudu unawaona waleee...Unaonekana una ufahamu na maswala ya kinywa na meno.
Sawa; lakini unaufahamu wa kitu kinaitwa Teeth tartar?fanya utafiti mkuu huwa wanatoka pamoja na damu
dawa unategeneza mwenyewe tu mkuuNaweza pata dawa mkuu....View attachment 3660147
Kwa hali hiyo, Mmmh! Bwana Ushimen kazania tu hifadhi ya yaliyobaki sahau habari ya hayo yaliyodondoka.Naweza pata dawa mkuu....😜View attachment 3660147