Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Kwani limbwata ni dawa? Limbwata linatibu nini?
Hahahahaha! Mkuu mie pekee ni limbwata tosha hayo mengine mbwembwe tu.Ebu katafute uniwekee ili nione kama ni dawa na inatibu
Hahahahaha! Mkuu mie pekee ni limbwata tosha hayo mengine mbwembwe tu.