Dawa ya cancer!

Dawa ya cancer!

Labda inatibu kwa cancer ambayo haijasambaa mwilini, ile stage 1, ingekuwa inasaidia hata kwa ambao washaanza kuumwa sana, nadhani hata baba yangu angepona, mana naye alikuwa anakunywa juice yake kwa wingi tu, R.I.P DAD
 
Labda inatibu kwa cancer ambayo haijasambaa mwilini, ile stage 1, ingekuwa inasaidia hata kwa ambao washaanza kuumwa sana, nadhani hata baba yangu angepona, mana naye alikuwa anakunywa juice yake kwa wingi tu, R.I.P DAD
Mkuu pole kwa kumpoteza baba yako. Asante pia kwa ushuhuda wako! Wakati baba yako akitumia hiyo juice ya haya matunda ilikuwa ni katika imani hii kwamba yanatibu kansa? Au ilikuwa ni utumiaji wa matunda wa kawaida tu?
 
Ndio haya kwa kiswahili yanaitwa mafenesi au nachanganya madesa!?

450px-Annona_muricata_1.jpg
stakafeli
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mkuu pole kwa kumpoteza baba yako. Asante pia kwa ushuhuda wako! Wakati baba yako akitumia hiyo juice ya haya matunda ilikuwa ni katika imani hii kwamba yanatibu kansa? Au ilikuwa ni utumiaji wa marunda wa kawaida tu?
Asante SMU, ndio, wakati anatumia haya matunda ni wakati waliposikia yanatibu kansa, na aliinywa sana, lkn nadhani ugonjwa ulimla sana, hvyo haikumsaidia.
Me ninachoshauri kama kweli hili tunda linatibu kansa, tuwe tunalila mara kwa mara ili kuuwa ugonjwa huu kama unataka kuanza kwenye miili yetu, nadhani tukifanya hivyo tunaweza kujikinga na kansa, lkn kwangu mm, hili tunda siwezi kulila tangu nikiwa mdogo, harufu yake ilinishinda, ila ni tamu sana.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
stafeli wengine limao kweli kila mtu anajitahidi kugundua dawaa ya kansa..
 
Dena Amsi inatakiwa matopetope banaaa! Kwetu dareda yapo mengi sana.... Aisee I miss home!

Majina yote ni sahihi darling...matopetope au stafeli.
Miaka ya nyuma yalikuwa yanapatikana kwa urahisi, ila kwa sasa sijapa kuuona mti wake muda mrefu sana.
Nakumbuka hii habari hata Rais Kikwete aliiongea wiki chache zilizopita, nadhani ni baada ya kusikia taarifa za kitabibu na wakati anayaongea hayo alikua amefanya ziara kwenye mashamba ya Mastafeli"matopetope"...
 
Last edited by a moderator:
Majina yote ni sahihi darling...matopetope au stafeli.
Miaka ya nyuma yalikuwa yanapatikana kwa urahisi, ila kwa sasa sijapa kuuona mti wake muda mrefu sana.
Nakumbuka hii habari hata Rais Kikwete aliiongea wiki chache zilizopita, nadhani ni baada ya kusikia taarifa za kitabibu na wakati anayaongea hayo alikua amefanya ziara kwenye mashamba ya Mastafeli"matopetope"...

Mi napinga matopetope hayana vipele
 
pole sana kwa mama yako, madaktari wanachanganya sana kwa kweli, mtu akiumwa kansa, huwa wanamfanyia chemotherapy ama wanampiga mionzi, ukifuatilia sana kwenye mionzi unaweza ukapatwa na wazimu pia, wengi tunajuwa kama mionzi ni chanzo cha kansa sasa sijui ata ni nini wanatibu hapo, maana anayechomwa mionzi ana asilimia kubwa ya kuja pata kansa, ngoja nakuelekeza dawa ambayo watu wengi wanasema imewaponya kansa, sina maana kwamba mama asiende hospital la, ni hospital tu kutokana na vifaa walivyo navyo ndiyo wanaweza kuicontrol kansa. hii dawa inatumika sana brazil, tafadhali kila atakaesoma hii dawa ni vizuri ukamuelekeza mwenzio bila ya malipo yoyote Mungu anaweza kusaidia tukawa tunaokoa maisha ya watu wengine, uzuri wa hii dawa haikatazwi kutumia na dawa nyingine

sisi tunayo manne shambani kwetu,daah ningejua mother angekunywa toka alivoanza kupigwa mionzi..kumbe hii ni zaidi ya mionzi aisee
hivi dar yapo?


aloe arborescens.JPG
-huo mualoe inapaswa usiwe mchanga, huwe kuanzia miaka 4 na kuendelea
-hakikisha wakati unataka kukata majani yake haujanyeshewa na mvua siku kama 5

Jinsi ya kutengeneza dawa yenyewe ni lazima huwe na Mixer

Mahitaji:
-matawi 3 ya mualoe, kata asubuhi kabla ya jua kuchomoza ama jioni baada ya jua kuzama
-asali ya nyuki original, liter 1
-vijiko 3 vya alcohol (whisky aina yoyote)

kwanza safisha majani ya mualoe kwa kuyafuta kwa kitambaa safi, bila ya kutumia maji, usiyaoshe, chukua kisu na uondoshe miba zote, katakata na kutumbukiza kwenye mixer, weka asali liter moja, kisha alcohol hivyo vijiko 3 vikubwa, washa mixer uzichanganye mpaka uhakikishe juisi imesagika haswa. chukua chupa isiyo nyeupe, nyekundu ama ya kijani i mean yenye kiza kiza na jaza juisi yako humo utunze vizuri kwenye friji.

Matumizi:
kutwa mara tatu, asubuhi, mchana na jioni, kijiko kikubwa kimoja dakika 20 kabla ya kula
mgonjwa atumie kwa muda wa siku 10, kisha apumzike siku 10 ndiyo aendelee tena
muhimu sana akianza hiyo dawa asikatishe, anaweza akawa anatapika sana ama anaharisha sana,lakini aendelee tu na dawa mpaka siku kumi ziishe, amini ndugu yangu hiyo ni dawa na inaponya kweli kansa ya haina yoyote, wakina baba wenye matatizo ya nguvu za kiume nao wanaweza tumia , inaponya hemoroid kabisa.

tafadhali sambazeni kadli muwezavyo hili tuokoe maisha ya ndugu zetu wapendwa, nawaombeni wengine msifanye mtaji kwa kujua hii dawa, sambazeni bure kabisa,mie mwenyewe sijaoteshwa nimeelekezwa kama ninavyowaelekeza, uhai una thamani zaidi ya pesa. ni dawa ni dawa kwa kansa ya aina yoyote, ata kama mpendwa wako kansa yake imesambaa, jaribu kumpatia na Mungu atasaidia atapata nafuu, nimesikiia mazuri tu kuhusu hii dawa.

Msiache kwenda hospital kwakuwa mnatumia hii dawa, dawa hii haioni ugonjwa unavyoendelea, ni daktari tu mwenye huwezo wa kukwambia hatua ya ugonjwa wako, kuwaona wakina Riwa ni muhimu pia.

Asanteni
 
Siyo mafenesi hayo ila picha ni yenyewe yaani ''stafeli''
 
Back
Top Bottom