Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,227
- 1,362
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!
halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.
Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.