Dawa ya asili yenye kuimarisha Nguvu za kiume.

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
786
1,367
Dawa hii ni ya asili kutokana mkoani Tanga. Haijachanganywa na kemikali yoyote ipo katika mfumo wa unga unga.
Matumizi: utaweka kijiko kimoja cha chakula kwenye supu au kinywaji chochote. pia unaweza kuichanganyia na asali kwa matokeo bora zaidi.
Dozi yake ni ya muda wa wiki moja na tatizo lako litakuwa limeisha kabisa.
Inauwezo mkubwa wa kupunguza Cholesterol na sumu pia husafisha mishipa ya damu.
Mzigo ndio kwanza umewasili wahi mapema kabla mzigo haujaisha.
Tuwasiliane pm kwa maelezo zaidi
 
Hiyo nikitumia ntakuwa na uwezo wa kwenda round ngapi na kwa muda gani?
 
Hiyo nikitumia ntakuwa na uwezo wa kwenda round ngapi na kwa muda gani?
Mkuu naona wengi mnafocus kwenye round kumbuka dawa hii sio kama Viagra ni dawa yenye kutibu tatizo nakuhusu hizo round zinakuwa za kawaida na pia itategemea MTU na mtu
 
Ni tatizo gani hasa linalotibiwa hapo?


Inaongeza nguvu...kama Viagra, au?
Viagra inaondoa tatizo kwa muda mfupi na kukuridhisha kwa siku moja lakini hii dawa inatibu tatizo moja kwa moja
 
Back
Top Bottom