Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

hili tatizo lina wakumba wengi sana si kina mama tu ,hata kina baba,,na mara nyingi chanzo huweza kuwa ni siku moja au mbili mume wako alishindwa kukufikisha kileleni hali hiyo ikajengeka akilini mwako na ndio chanzo cha tatizo lili anza na sehemu kubwa na walio wengi huwa ni psycological problem ambalo huwa linahitaji mind wiping, unatakiwa kuondoa yale mawazo ya mumeo kushindwa kukufikisha yaliyo wahi tokea.na kwa namna nyingine mnaweza kukaa mda mrefu kidogo bila kufanya mapenzi na siku mtakayo taka kufanya jaribuni kubadirisha mazingira ya kufanyia mapenzi ,mnaweza kutoka kwenda mbali kidogo na nyumban mkalala huko hata kwa siku moja au mbili na mkaanza na kuogeshana na vimichezo vya hapa na pale kimahaba mkiwa huko hata kama ni guest na wewe akili iwe kwenye kufurahia tendo sahau siku mlizo fail kumbuka zaid siku ulizo furahia mapenzi zaidi kabla ya tatizo kuliko siku ulizo shindwa.naamini itakusaidi kwani ninaorodha ndefu ya watu walio jaribu mbinu hii wakafanikiwa hadi sasa wanafurahia tendo.

Ahsante sana kwa mawazo yako yenye busara mkuu ntajitahidi kuyafuata kadri M Mungu atakavyoniwezesha
 
tunasubili mrejesho , make ni mambo mengi umeshauliwa uyafanye, ikiwa ni pamoja na dawa ya mzizi kavu hauchibwi uliyoelekezwa kuwa ipo maeneo ya kaliakoo.

tupe majibu ,Dada na sisi tunufaike.
 
tunasubili mrejesho , make ni mambo mengi umeshauliwa uyafanye, ikiwa ni pamoja na dawa ya mzizi kavu hauchibwi uliyoelekezwa kuwa ipo maeneo ya kaliakoo.

tupe majibu ,Dada na sisi tunufaike.

Ondoa shaka kaka kua na subra ntarudi kutoa feedback
 
Nilipata tatizo kama hilo, ila nilikuwa sawa baada ya kunywa mdalasini na asali asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi, ni nzuri sana.

Hiyo dawa ni nzuri sana hata mimi nilitaka nimshauri atumie hiyo, akichanganya habat sawda kidogo.

cc Shadya9
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1396714349048.jpg
    1396714349048.jpg
    7.4 KB · Views: 178
Hello wakuu

Kabla sijajiunga na JF

Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau mbalimbali

Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumiz.....nkaona ni vyema nikajisajili JF na kutoa hii post huenda nkapata msaada juu ya hili tatizo langu hii ndio post yangu ya kwanza mm humu JF sio mgeni mara nying napita juu tú na kusoma yaliyomo nkaona ni vyema nkawa member kabisa

Jamani nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali

Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuzi ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu

Njia nyingine

Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate

Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi

Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú


Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!

Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!

Ni PM maybe I can help u
 
Dawa ipo ninadawa nzurisana za ashirki kwa wanaume na wanawake ni dawa ya mitishamba ni nzurisana.inaleta msisimko wa ajabu ndani ya mwili na kuleta hamu kubwa ya kufanya tendo la ndoa na kuleta raha ya ajabu ndani ya mwili kiukweli utaipendasana.kama unaitaji ntafute 0759217720
 
Agiza Germany Sex drops on line kama una ATM card yenye Visa au Mastercard au agiza kupitia jamaa wanaokwenda Europe au USA
 
Back
Top Bottom