Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara...

Discussion in 'JF Doctor' started by kingxvi, Jun 1, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa yangu kipara kinamnyemelea kichwani, anauliza dawa gani anaweza kutumia ili nywele ziote na kuzuia kisije!?
   
 2. b

  blackpearl Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kipara knasababishwa na homoni 'dihydrotestosterone'ambayo pia inashughulika na inshu za fertility na 'urijali'....dawa ya kuzuia hormoni hiyo isizalishwe zipo.(Ingawa cijui kama znapatikana bongo) lakini unapotumia uwe tayari kukabiliana na changamoto za uzazi
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  so nimshauri jamaa aende hosptal?
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kwani kipara ugonjwa? mwambie akamuone 'cosmetologist'!
   
 5. R

  Rover Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna dawa ya kuzuia Kipara, in kama kusema unatafuta dawa ya kuzuia Mvi zisiote.
   
 6. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Atulie tuu na UPARA wake!! Kwani ana wasiwasi gani kuwa na upara??Sisi wenzie mbona tunadunda tuu na vipara vyetu bila noma??Au SHAROBARA??Maana hao ndiyo wanakuwa na wasiwasi na outlooks zao kwenye jamiiii:)
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  gene therapy can work best, ila bongo bado....
   
 8. V

  Venezuela Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  5% Minoxodil available in the pharmacy on Zanaki/Jamhuri street or the beauty supermarket in IPS building(ground floor). Good luck
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  dawa ya kipara ni kunyoa nywele zote :biggrin1::biggrin1:
   
 10. s

  shayo New Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kwenda saloon kukichonga basi, maana hakikwepeki
   
 11. s

  sugi JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  yaan kukiongeza?tunataka kutibu tatizo co kuliongeza
   
 12. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dawa ya kipara ipo na mvi vilevile ila matumizi yake ni ya muda kidogo.pia ni gharama kwa (wabongo walio wengi)si ya kemikari.
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  ukisema kipara chakunyemelea kuna ubaya gani mkuu...sio ugonjwa huo so wala usimsakizie jamaa yako:becky:
   
 14. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kipara na mvi siyo normal mkuu ni matokeo ya lifestyle tofauti ni kwamba hakina madhara kiafya usiharalishe kipara
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pole yake ila ajitahidi asimwambukize mkewe!
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Pamoja na pilika pilika za weekend basi nina habari njema kwamba dawa ya kuotesha nywele kwa wenye vipara inapatikana, Wayne Rooney ameotesha za kwake kama mnavyoona hapa kwenye hii link.

  Habari njema kwa wale vijana waliowahi kuota vipara basi ni kujukusanya na kupanda pipa kwenda kwenye tiba.

  Bofya hapa usome zaidi habari hii. Wayne Rooney reveals hair transplant | The Sun |News
   
 17. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  duuuuuu. aiseeee kweli barca wamefanya kazi mpaka wachezaji wamejivua gamba?
   
 18. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  frm ths post napata concerpt kwamba mwanaume mwenye kipara by any means ni rijali is it not mkubwa?
   
 19. F

  FUSO JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  ha ha ha - barca ni noma
   
 20. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aangalie tu asije akaotesha hata nywele zisizotakiwa akajikuta akifanana na sokwe
   
Loading...