makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Karibu mkuu utanilipa baada ya kuridhika na hudumaMpaka kutapeliwa hiyo maana yake nina shida, sijasimamisha miaka 2_sasa
Karibu mkuu utanilipa baada ya kuridhika na hudumaMpaka kutapeliwa hiyo maana yake nina shida, sijasimamisha miaka 2_sasa
Ulijuaje na hao wawili wana shida ya namna hiyo?Nina shida mkuu Ila nimetapiliwa na kibaya zaidi kumbuka nimesema dawa hii niliwanunulia na wenzangu 2 wenye tatizo kama langu, matokeo yake wote haijatusadia kitu chochote ukilinganisha na kiki za muuzaji kuwa inaanza kufanyakazi w.e.f ndani ya Massa 2 tangu kuanza kutumika. Sasa zimepita siku 6 wakati dozi yake ni siku 3 ngoma bilabila
ok sawa ndugu yangu unajua hizi mambo huwa mara nyingi zinashughulikiwa na vijana barubaru, njoo PM tu mkuu tuelezane tuI concur with u japo mie sio bwana mdogo. Nitakupataje ndg
Yani ni zaidi ya antibiotic kama kikombe cha babuHaya madawa mengine tuwe waangalifu sana,sijawahi kusikia dawa inatibu multiple disease tena na magonjwa ya mishipa ya damu na moyo???? Akili za kuambiwa changanya na zako
Kama ni nguvu za kiume anza jogging halafu mitandao imewaharibu utakuta hata hauna tatizo shida ni kusikiliza watu oh nafanya masaa ni uongo mtupu.Nina shida mkuu Ila nimetapiliwa na kibaya zaidi kumbuka nimesema dawa hii niliwanunulia na wenzangu 2 wenye tatizo kama langu, matokeo yake wote haijatusadia kitu chochote ukilinganisha na kiki za muuzaji kuwa inaanza kufanyakazi w.e.f ndani ya Massa 2 tangu kuanza kutumika. Sasa zimepita siku 6 wakati dozi yake ni siku 3 ngoma bilabila
Duuuu haya matatizo haya aiseeMpaka kutapeliwa hiyo maana yake nina shida, sijasimamisha miaka 2_sasa
Napenda kujua elimu yako kama uliishia darasa la ngapi.Dawa yenye picha hapa chini kama inavyojieleza ni dawa Magumashi kabisa, inavyoelekea imewekwa tu majani ya makavu ya kunde au majani ya maharage kisha kuwekwa kwenye karatasi ya rangi na kuuzwa kama dawa ya kutibu maradhi yalioandikwa katika hiyo karatasi.
Dawa hii nimeinunua Dodoma kwa binti mmoja anajiita Subira kwa maelezo yake anasema anaishi maeneo ya Makole lakini siku alipokuwa akiuza alinikuta maeneo ya ChakoniChako Bar, kwa kweli kanilamba takribani 45,000/= kwa paketi moja na niliwachukulia na wenzangu 2 kwa maana ya jumla ya paketi 3 na maelekezo ni kwamba dozi yake ni siku 3 kwa maana ya kijiko cha chai 1x1 kwa siku 3 tu kwa kunywea ktk kinywaji chochote, na matokeo yake yataanza kuonekana Massa 2 na kuendelea tangu kuanza kutumika.
Cha ajabu na kusikitisha tangu tumeitumia zimepita siku 6 hakuna matokeo yoyote chanya zaidi tumetapeliwa na huyo Dada Subira akipigiwa simu japo atoe ufafanuzi tangu alipoelezwa tatizo hapokei simu na wala hajibu meseji jambo linaloashiria anafanya utapeli wa kukusanya hela za watu kwa kuuza dawa fake na huenda ikichunguzwa kiundani inaweza kuwa na madhara makubwa kwa matumizi ya binadamu.
Chonde wenye tatizo kama langu chukueni tahadhali na dawa hiyo hususani na huyo Binti muuzajiView attachment 864987View attachment 864988
Ungekuwa karibu ningejaribu na wewe!!!Napenda kujua elimu yako kama uliishia darasa la ngapi.
Pakiti inaonesha dawa imetengenezwa MBY-TZ yaani Mbeya Tanzania na namba za simu ni za mtengenezaji siyo za muuzaji. Nakushauri unapokuwa kwenye pombe usipende kununua vitu kwa ushabiki wa kilevi, dawa hiyo haina anuani kamili ya mtengenezaji, hata hivyo haujapata hasara kwani majani ya maharage au kunde ni mboga nzuri kwa ugali wa muhogo.
Mwisho ungemuomba mkaijaribu ubora wake kwani hapo Chako ni Chako vyumba vipo; Karibu kwenye chupa ya babu feri Dar es Salaam, bei ni rahisi shilingi elfu tatu tu.
Hizi namba zilizooneshwa hapo ni namba za huyo muzaji Subira wacha ujuha,ungeuliza kwanza kabla ya kutoa povu. We we umeishia darasa LA ngapi!!?Napenda kujua elimu yako kama uliishia darasa la ngapi.
Pakiti inaonesha dawa imetengenezwa MBY-TZ yaani Mbeya Tanzania na namba za simu ni za mtengenezaji siyo za muuzaji. Nakushauri unapokuwa kwenye pombe usipende kununua vitu kwa ushabiki wa kilevi, dawa hiyo haina anuani kamili ya mtengenezaji, hata hivyo haujapata hasara kwani majani ya maharage au kunde ni mboga nzuri kwa ugali wa muhogo.
Mwisho ungemuomba mkaijaribu ubora wake kwani hapo Chako ni Chako vyumba vipo; Karibu kwenye chupa ya babu feri Dar es Salaam, bei ni rahisi shilingi elfu tatu tu.
Inatoka Congo wakati imeandikwa Mbeya?Hata yeye alisema inatoka Congo Mkuu!!!
Ndiyo maana umetapeliwa kijinga na msichana, ungekufa kwa kunywa sumu sababu tu ya ulevi wako wakijinga sijui ndugu zako (kama unao) wangemdai nani.Ungekuwa karibu ningejaribu na wewe!!!