Dawa hii ya mitishamba ina walakini ichunguzwe

Dawa hii ya mitishamba ina walakini ichunguzwe

hebu lete namba ya Subira niongee nae kwa kina zaidi.
 
Haaaahaaaa!!!!
nimekumbuka jamaa yangu aliparamia mzigo wa kimasi, pamoja na jitihada zangu kumzuia aligoma, chamoto alikiona maana aliharisha wiki siku tatu non-stop na performance ikabak ileile
 
Watu bana wanahangaika kupata nguvu za kiume wakat wanawake hawajui wakitakacho xaxa cjui ww mwanaume utakifahamuje
 
Habari mtoa mada naona japo kwenye uzi wako wataalam wa tiba asili tumepondwa but hainizuii kuchangia kile ninachokiami

1, nikianza na tatizo lenyewe,ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawajui tatizo la ugonjwa wa kiume ni nini,hivyo wengi kujikuta wanaingia kwenye mkumbo wa kutumia madawa hali ya kuwa hawana tatizo husika
2,tatizo la nguvu za kiume huwezi kulitambua kwa muda mfupi miezi miwili au mmoja kama wengi wanavyodhania
3,kuna tiba 3 za nguvu za kiume ya kwanza ni kwa ushauri wa kisaikolojia pili ni kwa matumizi ya vyakula na mwisho ni kwa matumizi ya dawa
3,ukienda sehemu nyingi wanakotoa tiba za nguvu za kiume watakupa dawa za kunywa kitu ambacho siyo sahihi kwanini?kwa sababu vitamin zote zitazopatkana katika dawa hizo za kunywa huwa unazitumia kwenye chakula chako cha kila siku,hivyo kama ulikuwa unazipata kila siku mbona bado tatizo bado lipo?kupitia swali hilo utaona kuwa tiba halisi ya tatizo hilo kwa upande wa dawa ni dawa za kupaka ambazo zipo nyingi tu dawa ambazo utakuwa unatumia mpka mwezi kwa ajili ya kukaza misuli yako ya uume ambayo imeregea ambayo ikiwa inasimama barabara utakuwa na uwezo wa kufanya tendo inavyotakiwa
Tiba za asili ni bora mno kuliko za kizungu
NB,jaribu kufanya mara nyingi walau mara 4 kwa week then utaona matokeo yake kwani kadei unavyofanya ndivyo uwezo wako unakuwa mzuri siku ya kwanza andika kwenye kimemo umefanya mda gani na kwa goli ngapi then at the end of the month unaaangalia ikiwa tofauti sasa ndo uanze kutafuta tiba
Sorry kwa maelezo marefu
Jerrybaks
 
Back
Top Bottom