Dawa hii ya mitishamba ina walakini ichunguzwe

Dawa hii ya mitishamba ina walakini ichunguzwe

Hizi dawa za namna hii nyingi sn ni feki ndio maana mm nkiona mtu anatangaza humu huwa namwambia anipe kwnz halaf nilete mrejesho lkn wote huwa wanakimbia
 
Doh! Mgogo kakuliza, pole sana.

Halafu asilimia kubwa ya watu hawana matatizo ya nguvu za kiume, ni saikolojia juu ya tendo ndo tatizo. Nakushauri nenda hospitali
 
Hizi dawa za namna hii nyingi sn ni feki ndio maana mm nkiona mtu anatangaza humu huwa namwambia anipe kwnz halaf nilete mrejesho lkn wote huwa wanakimbia
Point noted Sir
 
Wewe hujawahi kununua kitu bar!!? Au umetaka kuonekana unatoa povu tu!!!?
Inategemea na bidhaa..siwezi nunua kwa machinga dawa ya aina yoyote ile hasa ya kunywa ..never.

Pengine ulishakuwa umelewa balimi ukalitamani limalaya hapo baa ukaona ununue ukaikomoe k.
Mtakuja kufa juu ya papuchi
 
Ila me naomba kuuliza....., hivi mnapokuwa mnatumia dawa kutoka kwa hawa madokta wa elimu mtaani dotcom huwa mnatarajia nini?!

Most of hawa watu huwa si trained specialists kwa maana kukijua wanachofanya.....

Sikatai wapo traditional specialist ambao wanaielewa vema mitishamba na hata akikupatia dawa inakuwa inafanya kazi vema....

So nashauri wajameni, kuweni na background record ya hawa tunaowaita ni madokta wa dawa za kienyeji.....
 
Dawa yenye picha hapa chini kama inavyojieleza ni dawa Magumashi kabisa, inavyoelekea imewekwa tu majani ya makavu ya kunde au majani ya maharage kisha kuwekwa kwenye karatasi ya rangi na kuuzwa kama dawa ya kutibu maradhi yalioandikwa katika hiyo karatasi. Dawa hii nimeinunua Dodoma kwa binti mmoja anajiita Subira kwa maelezo yake anasema anaishi maeneo ya Makole lakini siku alipokuwa akiuza alinikuta maeneo ya ChakoniChako Bar, kwa kweli kanilamba takribani 45,000/= kwa paketi moja na niliwachukulia na wenzangu 2 kwa maana ya jumla ya paketi 3 na maelekezo ni kwamba dozi yake ni siku 3 kwa maana ya kijiko cha chai 1x1 kwa siku 3 tu kwa kunywea ktk kinywaji chochote, na matokeo yake yataanza kuonekana Massa 2 na kuendelea tangu kuanza kutumika. Cha ajabu na kusikitisha tangu tumeitumia zimepita siku 6 hakuna matokeo yoyote chanya zaidi tumetapeliwa na huyo Dada Subira akipigiwa simu japo atoe ufafanuzi tangu alipoelezwa tatizo hapokei simu na wala hajibu meseji jambo linaloashiria anafanya utapeli wa kukusanya hela za watu kwa kuuza dawa fake na huenda ikichunguzwa kiundani inaweza kuwa na madhara makubwa kwa matumizi ya binadamu. Chonde wenye tatizo kama langu chukueni tahadhali na dawa hiyo hususani na huyo Binti muuzajiView attachment 864987View attachment 864988
pole sana bwana mdogo, tukiwaambia njoo mwonane na madaktari kwenye ofisi za hadhi nyie mnakutana na watu bar pole kwa kweli, kama una shida genuine tuwasiliane naweza kukutanisha na medical doctor atakupa ushauri na suluhisho la kudumu.
 
Nina shida mkuu Ila nimetapiliwa na kibaya zaidi kumbuka nimesema dawa hii niliwanunulia na wenzangu 2 wenye tatizo kama langu, matokeo yake wote haijatusadia kitu chochote ukilinganisha na kiki za muuzaji kuwa inaanza kufanyakazi w.e.f ndani ya Massa 2 tangu kuanza kutumika. Sasa zimepita siku 6 wakati dozi yake ni siku 3 ngoma bilabila
Ok, Ili tukushauri tuambie matokeo ulotarajia baada ya kunywa hiyo dawa.
 
Inategemea na bidhaa..siwezi nunua kwa machinga dawa ya aina yoyote ile hasa ya kunywa ..never.

Pengine ulishakuwa umelewa balimi ukalitamani limalaya hapo baa ukaona ununue ukaikomoe k.
Mtakuja kufa juu ya papuchi
We we utakuwa Mwalimu!!! Unazumzia kunywa balimi??!!!!
 
Ila me naomba kuuliza....., hivi mnapokuwa mnatumia dawa kutoka kwa hawa madokta wa elimu mtaani dotcom huwa mnatarajia nini?!

Most of hawa watu huwa si trained specialists kwa maana kukijua wanachofanya.....

Sikatai wapo traditional specialist ambao wanaielewa vema mitishamba na hata akikupatia dawa inakuwa inafanya kazi vema....

So nashauri wajameni, kuweni na background record ya hawa tunaowaita ni madokta wa dawa za kienyeji.....
Rafiki naona umetoa hoja na kuijibu mwenywewe." Huwakubali waganga wa miti shamba, bado hukatai kuwa wapo waganga wa mitishamba wazuri" any way siyo mbaya umechangia hoja
 
pole sana bwana mdogo, tukiwaambia njoo mwonane na madaktari kwenye ofisi za hadhi nyie mnakutana na watu bar pole kwa kweli, kama una shida genuine tuwasiliane naweza kukutanisha na medical doctor atakupa ushauri na suluhisho la kudumu.
I concur with u japo mie sio bwana mdogo. Nitakupataje ndg
 
Mkuu kama una shida hiyo tuwasiliane mkuu mimi niko Sumbawanga nitakutumia ya kutest bure ila uwe na mwamamke zaidi ya mmoja ama sivyo ukiuwa mimi sihusiki mkuu
Mpaka kutapeliwa hiyo maana yake nina shida, sijasimamisha miaka 2_sasa
 
Nafikiri nyingi ya hizo dawa ni chenga, tujitahidi kutumia njia mbadala kama kula matunda mbalimbali, nyama ya ng'ombe, maziwa, samaki mazoezi hasa ya kunyanyua vitu vizito mara 3 kwa wiki. Kuwa na msongo unaosababishwa na mihangaiko ya kila siku na maswala ya kisaikolojia pia huchangia pakubwa
 
Kusimamisha mb*** na kukoj*** lakini haikuwa hivyo
Sasa wewe ulitaka baada ya kunywa dawa mbooga isimame kisha umwage kwani hiyo dawa ndo ****liza? Au ulishaandaa demu wa majaribio au ndo kusema kama hiyo Mbooga ingesimama ndo ungeshtua na chaputa?

OK, kama kweli Mbooga yako haisimami tafuta ma dakitari wa hospitali pia usasahau kufanya Dua na kufanyiwa dua za deliverance
 
Back
Top Bottom