Dawa heshima tu

FaizaFoxy, sio wanaume wote wana uwezo wa kulisha na kuvisha wake zao.Nampa mumeo hongera kwa uwezo huo wa fedha na upendo wa kukuletea vya buchani na vinginevyo.

Khaa! sasa wanaoana nao kwanini? wakawe watumwa zao?
 
Khaa! sasa wanaoana nao kwanini? wakawe watumwa zao?
Tamaa zinawatuma waoe ili wapate kitu kimoja tu kutoka kwa huyo mwanamke.Wakishakichezea watakavyo
wanamwacha huyo mwanamke na kuishia kusikojulikana.
 

Na mwisho wa yote unatumia kijiti kuhesabu pesa zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…