Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
kama ingekuwa hivi matatizo ya ugoni yasingekuwepo
Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?
Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!
Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
Haa ha ha! Ila hata nyie wanawake mnavyakushika shika vingi. Bora hata sisi.Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?
Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!
Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
Haa ha ha! Ila hata nyie wanawake mnavyakushika shika vingi. Bora hata sisi.
do you come from planet mars?
bora umenisaidia mkuu
Haa ha ha! Ila hata nyie wanawake mnavyakushika shika vingi. Bora hata sisi.
Kwa hiyo usitupe mikono. Simpo.
We hukoji? Hujambi?hunyi?
inajikuna makende,
Ingekua hivyo safi sana!
Kwa hiyo usitupe mikono. Simpo.
Eeeh siwapi! Kiroho safi.