Dawa haichimbwi mjini

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Siku moja nilikuwa natoka musoma kwenda mwanza njiani jamaa akabanwa na mkojo akamwomba konda asimamishe gari akojoe akaambiwa pale hawaruhusiwi kusimama ni hifadhi,jamaa akavumilia huku akiendelea kumkumbusha konda,baada ya muda tukafika kwenye center watu kibao ndo konda akamwambia jamaa akakojoe jamaa akamind kuwa ataendaje kuchimba dawa mjini? Akawa mkali na hakushuka hadi tulipofika porini.
 
Alikuwa ana lake huyo. Mkojo ukikubana vizuri hata sokoni unakojoa.
 
Mi nimewahi kukojoa mbele ya traffic wa kike mbeya!
 
Kama safari ya masaa 0-5 kwanini uende haja njiani? Huku ndio kukosa busara na dalili ya uswahili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…