Dawa gani hizi?

Kwa nyongeza, kuna bosi wangu mmarekani kabisa amekolea nyumba ndogo ya kiswahili ni balaa hapa ofisini hatumuelewi hata utendaji wake wa kazi umepungua.Tunamuombea tu asije akadhurika na hayo madawa kiafya.
Huyo Kashakwama teyari na huyo dada ye2 anajivutia midollar tu
 
Back
Top Bottom