Davis Mosha kugombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini?

Davis Mosha kugombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini?

Davids Mosha kapata pesa mara tuu kikwete alipoingia madarakani,wanakaa jirani na Ridhwan pale mikocheni.In short anaangalia mali za mtoto wa kaya kaona bosi wake kawa mbunge chalinze nae anataka ubunge

Una uhakika na unayoyasema.?unamjua anapoish na shughuli zake au unaskia story za mkumbo 2
 
habari za jf,
binafsi nimekulia na kusomea moshi town mawenzi primary na mawenzi sekondari japo advance na chuo vilinipeleka mbali kidogo na moshi ila sio sababu ya mimi kupasahau nyumbani kwa kiasi kikubwa, nawafahamu watu maarufu wote na wenye ushawishi moshi ila hili jina la davis mosha limekua geni kidogo kwangu naombeni mnifahamishe mawili matatu juu ya hizi fununu za jamaa kuja kugombea katika manispaa yangu ya moshi hususani kiutendaji na uwezo wake wa kisiasa bila kusahau upepo wa kisiasa uliopo katika jimbo la moshi anaweza kuwa na nafasi huyu?
N.b. Mimi si mkereketwa wa chama chochote cha siasa naomba tu kumfahamu mgombea na nafasi yake

ahsanteni
huyu ni mtoto wa kiborloni,kama ujuavyo wa mangi ni wataftaji ndio maana pengine unapotoka yeye
yupo au yupo wewe umetoka.

ni wajamaa wa kina shauri maro wakwe za mkapa
 
Mama Minde shemeji yake na Mkapa kwani hana nia tena?Hawa ni majirani na Mosha nafikiri hii connection ndio imepelekea kuwa wakala wa mali za mwanamfalme...
 
Kwa ticket ya chama gani? hili ndo la muhimu pale Moshi
 
Mama Minde shemeji yake na Mkapa kwani hana nia tena?Hawa ni majirani na Mosha nafikiri hii connection ndio imepelekea kuwa wakala wa mali za mwanamfalme...

Hebu acheni majungu.. Huyo dogo Riz mnampaga kichwa sana

Hivi huyo Riz anavyochukia watu wa Kaskazini sanasana Wachagga atampaje mchagga hizo mali asimamie?? Na kama ungethubutu kufanya hivo, anampaje dili au usimamizi wa pesa nyingi hivo mtu asiyekuwa na shule yeyote?? Anashindwa kwenda kumchukua kipanga anayegraduate Bachelor ya Finance pale UDSM akamkabidhi hizo biashara??

Mosha started it back then tangia akiwa Moshi, alishakamata pesa hata kabla ya huyo Riz hajamaliza Chuo na babake hajawa Rais.. kama kuna negotiations kati yao ni zile za zangu 70 zako 30.. Ambazo kwa kawaida huwezi kupata tender kubwa kubwa bila huo ujanja. Kwa ufupi tu ni kwamba Mosha ndie anayemtumia Riz
 
Boisafi Huyu Aliyewatapeli Vodacom Mabilion Ya Shiling,au? Sikilizeni Moshi Ccm Hata Akigombea Yesu Ukawa Wakaweka Jiwe Litamshinda Ni Jimbo Pekee Tanzania Ambalo Tangu Vyama Vya Upinzani Vianze Ccm Haijawah Shinda Apa!

Angalia usiharibu...Yesu yupi unayemtaja?
 
Mosha hawezi kushinda Moshi mjini kwa jinsi navyomjua.
 
ni mtu mwenye kuendekeza makundi na migogoro-mfananishe na rage au wambura ama ndolanga
 
Du kumbeee. Sasa keshakuwa mgombea wa ccm kama ni kweli hawatamkatia mezani. In any case upinzani hivyo kama vile umeshashinda. Meya wa sasa Jaffary anaweza sana kuongoza vizuri tu nasikia
 
Genge lake mtu mwenye nguvu aliyebaki labda ni Panone.. Nae nilisikia anataka kujenga uwanja wa mpira wa kisasa pale Njia panda ya Machame, ameshapanunua. Hiyo ni karata yake ya kupambana na Mbowe Hai, sijui kama bado ana hilo wazo la Ubunge na yeye

Patric Ngiloi (PANONE) hawezi kugombea Hai..huyu jamaa amekulia Kibosho Umbwe kwa Wajomba zake, baba yake ni wa Machame ila alimtelekeza..Ndio maana anatumia Ukoo wa Olomi wa wajomba zake kule Kibosho Umbwe...
 
Huyo kapotea, hapa moshi, pesa zake ataleta watu watakunya bia, sana siku ya siku anaangukia pua,, kwanza si mkazi wa Moshi, pili chama alichoingia kinakufa!! Sasa sijui kapewa pesa za ujanja ujanja tu... Moshi apawezi labda chadema isambalatike, ,..lakin cha ziada.. Chadema wanataka kuchukua manispal yote,, yani madiwani wote watoke chadema.. Anapoteza pesa na muda wake....
 
Huyo ni mtapeli flani hivi anayeishi dar...huwa ana kawaida yakwenda moshi vijijin kwao kusalimia kila december,sasa katika miaka mitano hii ameona moshi mjini ikinawiri na viunga vyake...akawapiga beer wazee wa ccm ili wamdanganye kuwa akigombea ubunge atashinda...sa hv vijana wanammkamua pesa kama kawaida kisha kura kwa jaffary....
 
Makazi anayo Moshi nyumba gorofa waziazi wake wapo Moshi ni yajiri kiasi ila ana ushirikiano na majiran akipita nagari utajua anapenda sifa Sana'a ila aishi kam mkazi makazi yake ya kudum yapo bongo nimbaguzi fulan ila baada ya kujua anataka gombea ubu
nge akaza tafuta undugu atakosa vibay mno coz nyumbni kwake kwanzi mbunge mpak mjumbe ni chadem mpaka jirani nichadem anae mkubaki kampa pesa anakazi sanaaa
 
Back
Top Bottom