Black Book
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 228
- 209
Habari za JF,
Binafsi nimekulia na kusomea Moshi town Mawenzi primary na Mawenzi sekondari japo Advance na Chuo vilinipeleka mbali kidogo na Moshi ila sio sababu ya mimi kupasahau nyumbani kwa kiasi kikubwa, nawafahamu watu maarufu wote na wenye ushawishi Moshi ila hili jina la DAVIS MOSHA limekua geni kidogo kwangu naombeni mnifahamishe mawili matatu juu ya hizi fununu za jamaa kuja kugombea katika manispaa yangu ya Moshi hususani kiutendaji na uwezo wake wa kisiasa bila kusahau upepo wa kisiasa uliopo katika jimbo la Moshi anaweza kuwa na nafasi huyu?
N.B. Mimi si mkereketwa wa chama chochote cha siasa naomba tu kumfahamu mgombea na nafasi yake
AHSANTENI