KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Anatafuta kugombana na wachagga wenzake kina ndesa pesa huyu chalii kwa kibororonyi,atakula jeuri yake babaangu,downtown moshi ni pasua kichwa !
Halafu huu uzi naona kama umewavuta kidogo watu wa moshi ndugu zanguni tufanyeni maamuzi sahihi mji wetu ubadilike kidogo na kuwe na fursa sio watu wanaenda kutafuta mbali halafu mwisho wa mwaka ndo foleni zinajaa pale Meku's Bistro na Uhuru park
so nyinyi wamarangu mkiona chopa tu then mnampigia kura ya ndiyo aliyezileta sio?Hivi We Mzima Kweli Kwa Hiyo Folen Kwako Ndo Maendeleo Ccm Hili Jimbo Sahauni Na Kama Ni Nguvu Ya Pesa Kwa Ndesa Ndo Kwao Chopa Ziko Sita Sasa Bado Mkimuuzi Ataakiza Hata B 52 Ije Ipige Tu Kampen Sio Mabomu
Davis Mosha si jina ngeni pale Moshi mjini.. Alianza hustles zake pale stand ya Moshi back then. Watoto wote wa mjini moshi (enzi hizo) wanamjua sana, kampani yake ilikuwa akina Bob Sambeke, watoto wa Mawalla wale wanamiliki Mr. Price, La Liga Club na biashara zingine hapo mjini, Patrick Ngiloi wa Panone.. Ila habari mbaya kwake ni kwamba pale chimbuko lake (Stand ya Moshi) ambako ndio vijana wengi wafanyabiashara mishe zao zinaanziaga hapo wote ni wafuasi wa CDM damu..
Mwezi February nilikuwa Moshi nikashangaa kumwona Davis akipiga Road Tour (akiwa anatembea kwa miguu) hapo mjini, nikajua kaja kusalimia tu machalii wake, kumbe lengo lake lilikuwa ndio hili hapa. Hapo kachemsha, Moshi mjini hana wa kumdanganya, angeenda tu kupambana kule kwao Moshi vijijini
Hili genge lake ni hatari sn
Huyo jamaa hana tofauti kubwa sana na mzee wa manvi, utajiri wake mkubwa unaacha maswali mengi yanayokosa majibu.
Inasemekana kuwa ana 'connection' kubwa na Prince Riz-One.
Inawezekana pia anajitumbukiza kwenye kinyang'anyiro hicho cha ubunge, akiamini kuwa mabilioni yake ndiyo 'yataununua' ubunge wake wa Moshi mjini.

Habari za JF....Binafsi nimekulia na kusomea moshi town mawenzi primary na mawenzi sekondari japo Advance na Chuo vilinipeleka mbali kidogo na moshi ila sio sababu ya mimi kupasahau nyumbani kwa kiasi kikubwa nawafahamu watu maarufu wote na wenye ushawishi moshi ila hili jina la DAVIS MOSHA limekua geni kidogo kwangu naombeni mnifahamishe mawili matatu juu ya hizi fununu za jamaa kuja kugombea katika manispaa yangu ya moshi hususani kiutendaji na uwezo wake wa kisiasa bila kusahau upepo wa kisiasa uliopo katika jimbo la Moshi anaweza kua na nafasi huyu? N.B. Mimi si mkereketwa wa chama chochote cha siasa naomba tu kumfahamu mgombea na nafasi yake AHSANTENI
kakutuma uje ujaribu upepo apa mwambie tunamjua ni mwizi na anaiba na mtoto wa mkuu, pia alikuwa kwenye mtandao wa kina MAWALA na Babu Sambeke Na Hawa Ni Watapeli Maarufu Afrika Mashariki Ila Mungu Kawapenda Zaidi