Davis Mosha kugombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini?

Davis Mosha kugombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini?

Kweli wabongo vilaza badala kusema why mosha hafai mnapiga porojo tu kuwa tajiri na kuwa ccm si dhambi cha msingi awaletee maendeleo wana Moshi mjini tuchague mtu si chama
 
Jaman mtoa mada naomba nisisitize kwamba sina urafiki wowote na huyo jamaa mim ni mwananchi wa kawaida wa manispaa ya moshi na mpenda maendeleo ndio maana nimependa kufuatilia tetesi hizi narudia tena mim ni mwananchi wa kawaida tuu
 

Mkuu umemaliza mawenzi mwaka gani,
Mi nimemaliza 1995 na kina irene nkya,.
Kiufupi hatumpi mtu jimbo ambaye haishi moshi,
Anatafuta umaarufu kupitia kura zetu.
Alete pesa tule, tule ukawa.[/QUOTE]

Mkuu Angel kama mawenzi sekondari 1995 umemaliza kitambo sana wakati huo mimi nlikua bado shule ya msingi ila hope umepita umepita mikononi mwa Mama Minja
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada anatuzeveza tu anamjua fika huyo mosha. Anataka ajue mtazamo wa wadau humu kwa sababu azijuazo yeye.

Lile jimbo kuna matajiri kama wa 4 maarufu wanalimezea mate kutokea 2005.
Naona nasingiziwa sana kujuana na mabilionea Lol'
 
Naona nasingiziwa sana kujuana na mabilionea Lol'

Sio like unasingiziwa kujua mabillionea. Fact is uache udananda. Lol

I'm Chagga too, wazazi wangu wame settle Moshi maeneo ya Majengo just few minutes away from Moshi mjini and Kiboriloni ingawa ni business people based in Dar. Kama kukaa Moshi kote unasema humjui huyu jamaa utakua ni muongo.
 
Boisafi Huyu Aliyewatapeli Vodacom Mabilion Ya Shiling,au? Sikilizeni Moshi Ccm Hata Akigombea Yesu Ukawa Wakaweka Jiwe Litamshinda Ni Jimbo Pekee Tanzania Ambalo Tangu Vyama Vya Upinzani Vianze Ccm Haijawah Shinda Apa!

Hivi tangu lini Yesu akafanishwa na mwanadamu achilia mbali jiwe Kama wewe ulivyosema
 
Habari za JF....Binafsi nimekulia na kusomea moshi town mawenzi primary na mawenzi sekondari japo Advance na Chuo vilinipeleka mbali kidogo na moshi ila sio sababu ya mimi kupasahau nyumbani kwa kiasi kikubwa nawafahamu watu maarufu wote na wenye ushawishi moshi ila hili jina la DAVIS MOSHA limekua geni kidogo kwangu naombeni mnifahamishe mawili matatu juu ya hizi fununu za jamaa kuja kugombea katika manispaa yangu ya moshi hususani kiutendaji na uwezo wake wa kisiasa bila kusahau upepo wa kisiasa uliopo katika jimbo la Moshi anaweza kua na nafasi huyu? N.B. Mimi si mkereketwa wa chama chochote cha siasa naomba tu kumfahamu mgombea na nafasi yake AHSANTENI



Huyu ndiye anayesimamia biashara za rais Kikwete (Delina group of companies)....Kwa kuwa rais anaondoka na yeye anatafuta sehemu ya kwenda kujibana ili azengue tu watu.
 
Boisafi Huyu Aliyewatapeli Vodacom Mabilion Ya Shiling,au? Sikilizeni Moshi Ccm Hata Akigombea Yesu Ukawa Wakaweka Jiwe Litamshinda Ni Jimbo Pekee Tanzania Ambalo Tangu Vyama Vya Upinzani Vianze Ccm Haijawah Shinda Apa!

Huyu huyu anaefahamika kama wakala mkubwa wa m pesa hapa Mosh na aliyekuwa mwenyekiti wa wafanyabiashara nilimweleza una chamgamoto kubwa ila subir upitishwe na ccm kwanza. Aliwatapeje voda??? Maana inasemekana kaanza biashara kitambo sana
 
Moshi Kwa ccm ngumu sana kwanza ccm wameshalisahau jimbo la moshi lipoje pia David mosha na boisafi awawezi kusimama na jaffari anakubalika sana ndiyo mrithi Wa ndesa moshi wanajua yeye aendelehe na bizness zake tu
 
Sio like unasingiziwa kujua mabillionea. Fact is uache udananda. Lol

I'm Chagga too, wazazi wangu wame settle Moshi maeneo ya Majengo just few minutes away from Moshi mjini and Kiboriloni ingawa ni business people based in Dar. Kama kukaa Moshi kote unasema humjui huyu jamaa utakua ni muongo.

Mkuu sijui hata maana ya udananda ni nin ila naheshimu mchango wa sanaa
 
Mkuu sijui hata maana ya udananda ni nin ila naheshimu mchango wa sanaa

Mdananda ni mtu anaeshobokea watu wenye hela bila kujua au kuelewa huyo mhusika hela anatoa wapi au kuipata katika mazingira gan. Tehe

Ila kwakua tunatokea sehem moja assume ni jokes tu. Lol
 
Tanzania: Coffee Workers Ordered to Vacate Staff Houses

By Marc Nkwame
Arusha — More than 200 families of workers belonging to the Burka Coffee Estate who have been residing in staff houses located within the coffee farms will now be compelled to vacate from the estate to pave way for new developments on the farms.

"We are simply relocating our workers from the base farm settlements within the estate so that they may find alternative residences in town, because the part of the farm at the Burka South has been bought by another investor, Delina General Enterprises Limited," explained the Human Resources Manager for Burka Coffee Estates, Mrs Pamela Kaaya, pointing out that the workers will still be employees of the agricultural company.

Since 1899 the Burka Coffee Estates have been growing and exporting Arabica beans from the farms but recently a large part of the estate measuring 418 acres was annexed and given to the government, through the Arusha District Council for the development of the proposed satellite city.


Also, some 297 acres were sold to the Burka City establishment whose largest shareholder was Mawalla Trust Limited and since 2011 there has been mutual agreement between Mawalla Trust and Burka Coffee estate for the latter to carry out farming operations in the land, including making use of the residential quarters for farmers that are located inside the segment.

However, from last April 2015 Burka City Limited sold the Burka South farms to Delina General Entreprises Limited a firm which plans to take over the land effectively from August 1, 2015 with the agreement that the area should be vacant by the time Delina moves in.

Now since the Burka Coffee Estate workers' housing units are located within the piece of land to be taken over by the new owner next August, the farm management has started process to remove its members of staff from the area, which admittedly isn't an easy task.

"It is a very costly undertaking because our firm has to pay six-month rent to all the 200 families, including moving allowances and foot the bill for transferring their children from one school to another," explained Mrs Kaaya. Mr John Mwanayongo is among the affected Burka Estate workers, serving as a warden.



"The management agreed to pay each of the families living in three-bedroomed units 870,000/- as house allowance," he said, adding that those in two-bedroomed units would be given 630,000/- while those in one-bedroomed houses are each to get 450,000/-.

"We are also entitled to 350,000/- school shifting allowance per child attending Primary or Secondary institutions and 200,000/- for each of the youngsters in kindergarten schools," explained Mr Mwanayongo.

Other workers, such as Ms Saumu Mwinyimvua and Mr Juma Ramadhan, said moving from their base cocoon into the harsh rental life in Arusha city was nothing short of a nightmare.

"We used to have all the basic services including water, electricity and treatment but once outside all these will come at a price," they lamented.
 
Nimegundua wa,Tanzania wengi sana mnaishi kwa fununu na kwa mtindo huu changes tutazisikia kwenye radio tu.
 
Habari za JF,
Binafsi nimekulia na kusomea Moshi town Mawenzi primary na Mawenzi sekondari japo Advance na Chuo vilinipeleka mbali kidogo na Moshi ila sio sababu ya mimi kupasahau nyumbani kwa kiasi kikubwa, nawafahamu watu maarufu wote na wenye ushawishi Moshi ila hili jina la DAVIS MOSHA limekua geni kidogo kwangu naombeni mnifahamishe mawili matatu juu ya hizi fununu za jamaa kuja kugombea katika manispaa yangu ya Moshi hususani kiutendaji na uwezo wake wa kisiasa bila kusahau upepo wa kisiasa uliopo katika jimbo la Moshi anaweza kuwa na nafasi huyu?
N.B. Mimi si mkereketwa wa chama chochote cha siasa naomba tu kumfahamu mgombea na nafasi yake

AHSANTENI

Huyu jamaa ni kundi la alex massawe uwizi wa magari na madawa ya kulevya hafai,atatuaribia vijana.Anachotafuta ni Diplomatic pass ili afanye kazi yake vizuri.
 

Attachments

  • 1437117757797.jpg
    1437117757797.jpg
    6.2 KB · Views: 505
Back
Top Bottom