Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

So hornet tuambie nani kunguru atakuja kutudonyoa wakati sisi panzi tunapeana jab na right hahahahahh

Kunguru ni huyooo na panzi ni waleee yaani ile tuzo ikija Tz mmmmh sijui.. Ngoja nilale
 
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
 
Leo ndio mmejua uzalendo??kwa nini msiwatafute wazalendo wa Uganda wakampigia kura shemeji lao..LOL
 
Ndipo akili zenu zinapoishia eti?? Nyie mnavyomchukia na kumtukana King nani aliwatuma??? Khaaaah!! hahahaaaaaaaa nicheke nijilalie mie, hebu endeleza uzalendo huko usiwaite watz wenzio mazezeta au kuna limitation ya uzalendo??!!

Njoo jkt hapa kigoma nikupigishe kwata la UZALENDO somo likukae vizuri

By the way lala ila lazima upate nightmare za kutisha sana .juu ya mondi bin laden hahahahah

Zikizidi fungua track mpya ya dai na kcee ukuliwaze.
 
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
​Kiba hahitaji nguvu zote hizi ili ashinde tuzo, yeye alivyo na muziki wake anajitosheleza tatizo ni huyo mdomo mchafu ni kujifanya anajua kumbe ni cry baby tu mtoto wa tandale kwa mfuga mbwa...nyooo.
 
Kunguru ni huyooo na panzi ni waleee yaani ile tuzo ikija Tz mmmmh sijui.. Ngoja nilale

Hahahahahaha mbona tuzo zinakuja tunangoja tu tukio MTU mzima dai apewe zake then mengine yatafuta so

Msiogope sana

Take it easy ....calm down hahahahahah
 
Hahahahahahaj mbona tuzo zinakuja tunangoja tu tukio MTU mzima dai apewe sake then mengine yatafuta so

Msiogope sana

Take easy baby ....calm down hahahahahah

Samahani naomba uedit hiyo sentensi ya pili kutoka mwisho.
 
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.

To be honest kiba akiingia MTV ntampigia kura yangu ya kizalendo.

But itabidi tusubiri sana labda akiiianza kutafuta kolabo zinazoeleweka ila sio zile za abdu kiba.
 
Njoo jkt hapa kigoma nikupigishe kwata la UZALENDO somo likukae vizuri

By the way lala ila lazima upate nightmare za kutisha sana .juu ya mondi bin laden hahahahah

Zikizidi fungua track mpya ya dai na kcee ukuliwaze.

Uwiii basi hatuna tena jkt, uwiiii nalala natabasamu nightmare zinatoka wapi, yaani ndoto zangu now ni za furaha tu, nightmare nawaachia, by the way ugua pole na usiku mwema mzalendo
 
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.

Yaani now mna lugha tamuuu, hebu endeleeni hivi hivi mnaweza kushawishi kidogo, ila huu uzalendo wenu wa msimu nao rahaaaaaa!
 
​Kiba hahitaji nguvu zote hizi ili ashinde tuzo, yeye alivyo na muziki wake anajitosheleza tatizo ni huyo mdomo mchafu ni kujifanya anajua kumbe ni cry baby tu mtoto wa tandale kwa mfuga mbwa...nyooo.

Kwani kiba kakulia masaki hahahahah nyie ndo mnapendaga kudandia treni kwa mbele.

Kwa taarifa yako kiba kakulia mchikichini Kule kwa akina mbuga,hidden na muddy physics .Hata sijui kama unakujua haahahahaha.

Acha ushabiki maandazi na vitumbua msanii mwenyewe unayemshabikia hujui background yake.hahahaha
 
Back
Top Bottom