Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Wa intaneshno wanalilia kupigiwa kura na Watanzania wapigiwe basi na nchi nyingne.

Hakuna anayelilia kupiwa kura mnapoanza kuleta kampeni chafu mnataka tufanyaje?.tukae kimya?.

Bora hata mngesusa kabisa kujihusisha na mambo ya kura sio kuanza kukampenia adui wa Taifa letu halafu mnategemea wazalendo tukaee kimya hahahahah.

Msianze ku-relate na siasa za bongo ooh sio escrow wala ninii?.Huko kuna wanaharakati wake..

Wanaharakati wa entertainment hatuezi kufumbia macho upuuzi upuuzi wa wachache hivihivi.

Tunawaonya kama ndugu zetu muachane na huu ujinga ujinga.
 
​Okay subiri kitimtim chaja mtaisoma namba nyambafff nyie,,.

Wewe mmoja huna madhara wenzako tumeshawatuliza muda sana saivi wanajitafakari upuuzi walioufanya .So wewe leta mihemko tu.

By the way nakushauri upite nyuzi zote vizuri hata hii kuanzia page ya kwanza .Naamini kuna kitu utajifunza.
 
Hakuna anayelilia kupiwa kura mnapoanza kuleta kampeni chafu mnataka tufanyaje?.tukae kimya?.

Bora hata mngesusa kabisa kujihusisha na mambo ya kura sio kuanza kukampenia adui wa Taifa letu halafu mnategemea wazalendo tukaee kimya hahahahah.

Msianze ku-relate na siasa za bongo ooh sio escrow wala ninii?.Huko kuna wanaharakati wake..

Wanaharakati wa entertainment hatuezi kufumbia macho upuuzi upuuzi wa wachache hivihivi.

Tunawaonya kama ndugu zetu muachane na huu ujinga ujinga.

Na nyie mnavoongea shombo mnataka watu wawafanyie nini sasa ka sikumpigia kura wamtakaye. Jino kwa jino hyo inaitwaa ondoa kwanza boriti la jicho lako ndo uweze kuondoa kibanzi kwa mwingine.

Hatuwezi kususa its it's a free country since1961 na huwezi kumpangia mtu cha kufanya kwa kujidai eti uzalendo. Hahaaaa uzalendo #myfoot loh sio siasa uzalendo hauletwi kwa kupigia wasanii kura hata siku moja.
Mnaimba uzalendo wakati hamu practice mioyoni loh.
Uzalendo ni pamoja na kuheshimu #democrecy freedom of expression na #choice . Hizo nyingine mnatafta #publicssympathy
 
Tatizo hawajielewi wanafuata mkumbo wanafuata upepo bila kujua uelekeo wake hawajiamini ni watu wa ovyo.

Wanaongozwa na mazoea mbaya zaidi wanafuata maelekezo ya mazezeta hahahahah .

Hivi kweli watu wazima na degree zao wanaamuliwa na Wema kufanya maamuzi?...
Mtu mzima unaufuata utashi wa Wema kufanya maamuzi??...
Tanzania tumelaaniwa sana...
 
Hamna kitu DAVIDO lazima tumpe kura kwa wingi ashinde kirahisi..

Ukute na wewe ulikuwa unashinda kumtukana Davido kwenye account zake halafu leo unakuja kusema unampigia kura...
 
Ukute na wewe ulikuwa unashinda kumtukana Davido kwenye account zake halafu leo unakuja kusema unampigia kura...
​duuuh na wewe si umejiunga leo tu hapa JF kuja kutetea jahazi la domondo...muelezeni kwanza huyo aache huo mdomo mchafu kama mbuzi then ndo mjee mumtetee huku otherwise imeshakula kwake DAVIDO tuu hamna cha uzalendo wala mavi yake na uzalendo hapa nyooooo.
 
Kwenye state interest keep down your hate,envy and ego.

Got it!!!!.

Hahahaaaaaaa! Eti state interest, hili kaanze kulihubiri kule kwa mafisadi ukimaliza urudi huku, leo ndio mnajua state interest ati???
 
Hahaaaa kuna vituko wanatukana wewe na maneno ya shombo juu.
Wakitaka kura wanajifanya masilahi ya taifa.
Hahaaaa masilahi ya taifa ni ka swala LA escrow, uchaguzi hayo mengine ni minor issues.

Ndio hapo chacha, mie nikajua wa intaneshino wanapigiwa kura na wa intaneshino!! Kumbe sie local hao hao ndio bado twapiga kura!!! Kama ye mzalendo mbona akazikataa tuzo za ndani wala hakushukuru kuzipata!! Endeleeni kutafuta mchawi tu.
 
Hahahaaaaaaa! Eti state interest, hili kaanze kulihubiri kule kwa mafisadi ukimaliza urudi huku, leo ndio mnajua state interest ati???

Huko kwa mafisadi wako ukawa and company huku kwenye entertainment wapo wazalendo kama sisi.

Tunacheza ligi tofauti mfano EPL na la liga but zote zinahusu mpira(state interests).

Upo hapo.

Nadhani umejisoma.
 
Hivi kweli watu wazima na degree zao wanaamuliwa na Wema kufanya maamuzi?...
Mtu mzima unaufuata utashi wa Wema kufanya maamuzi??...
Tanzania tumelaaniwa sana...

We naweeee, wapi wema alianzisha hilo unaloliongelea!!! Mnatafuta mchawi bado tu!!! Alafu mnajifanya wazalendo ilhali bado mwawadharau watanzania wenzenu!!
 
Ukute na wewe ulikuwa unashinda kumtukana Davido kwenye account zake halafu leo unakuja kusema unampigia kura...

Kuna mmoja humu niliquote hadi komenti aliyomponda davido lakini saivi eti anajifanya kumpigia kura hahahahah yaani amelambishwa matapishi take na watu wasiojielewa na kaingia kingi ya davido hahahaahahah

So sad!!!!
 
We naweeee, wapi wema alianzisha hilo unaloliongelea!!! Mnatafuta mchawi bado tu!!! Alafu mnajifanya wazalendo ilhali bado mwawadharau watanzania wenzenu!!

Kwani ulitegemea azungumzie kwa mdomo .yote mnafanya mmepokea maelekezo toka kwa wale mazezeta wenu.
 
Huko kwa mafisadi wako ukawa and company huku kwenye entertainment wapo wazalendo kama sisi.

Tunacheza ligi tofauti mfano EPL na la liga but zote zinahusu mpira(state interests).

Upo hapo.

Nadhani umejisoma.

Haya wazalendo kazaneni, hahahaaaaa!! Wazalendo bwana!
 
Atoto mtoto mzuri lakini mbishi kaaa hahahahah so ndo umenyoosha white flag au? Ndo bongo kibishibishi😀😀😀

Mie sina tatizo na mtu, kila mtu afanye kile nafsi yake inamtuma, msiwapangie watu mambo ya kufanya, alafu usijisahaulishe mie aoutlook yangu mbovuuuuuu na ni mchawi balaaaa, shaurilo
 
Mie sina tatizo na mtu, kila mtu afanye kile nafsi yake inamtuma, msiwapangie watu mambo ya kufanya, alafu usijisahaulishe mie aoutlook yangu mbovuuuuuu na ni mchawi balaaaa, shaurilo

Hahahaahahah eti mchawi hahahaahahah aise kumbe hata vikao vya gamboshi ni kweli unahudhuriaga hahahahhhah
 
Kwani ulitegemea azungumzie kwa mdomo .yote mnafanya mmepokea maelekezo toka kwa wale mazezeta wenu.

Ndipo akili zenu zinapoishia eti?? Nyie mnavyomchukia na kumtukana King nani aliwatuma??? Khaaaah!! hahahaaaaaaaa nicheke nijilalie mie, hebu endeleza uzalendo huko usiwaite watz wenzio mazezeta au kuna limitation ya uzalendo??!!
 
Back
Top Bottom