Davido atajwa kashfa ya mauaji

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
4,580
2,000
Msanii wa kimataifa toka Nigeria Davido ametajwa moja kwa moja kuhusika na kifo cha rafiki yake aitwao Tagbo.

Katika maelezo yake ya mwanzoni Davido akiwa polisi alisema hausiki na kifo cha Tagbo na alichana na Tagbo mapema na hawajui marafiki waliotajwa kuwa pamoja na Tagbo katika dakika za mwisho cha kifo chake, japo mudumu wa kwenye party iyo alisema alimuona Davido akiwa na Tagbo mpaka usiku wa manene uku Tagbo akionekana amelewa na hajitambui.

Kanda video za CCTV toka hospitalini zimeonyesha gari jeupe la Davido likiutelekeza mwili wa Tagbo kwa kuutupa hospitalini uku marafiki wa Davido aliosema hawajui walionekana wakitenda ilo tukio na baadae gari ilo lilikutwa nyumbani kwa Davido kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Lagos, pia imesemekana Davido ndo aliotoa maelezo mwili wa Tagbo ukatupwe Hospitalini.

Katika tukio lingine marafiki wawili wa Davido waitwao Olugbem na Chime walikutwa wamekufa ndani ya gari ya BMW kwny garage uko Banana island.Marehemu Tagbo na Davido enzi za uhai wake
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,911
2,000
Msanii wa kimataifa toka Nigeria Davido ametajwa moja kwa moja kuhusika na kifo cha rafiki yake aitwao Tagbo.

Katika maelezo yake ya mwanzoni Davido alisema hausiki na kifo cha Tagbo na alichana na Tagbo mapema na hawajui marafiki waliotajwa kuwa pamoja na Tagbo katika dakika za mwisho cha kifo chake, japo mudumu wa bar uhusika alisema alimuona Davido akiwa na Tagbo mpaka usiku wa manene uku Tagbo akionekana amelewa na hajitambui.

Kanda video za CCTV toka hospitalini zimeonyesha gari jeupe la Davido likiutelekeza mwili wa Tagbo kwa kuutupa hospitalini uku marafiki wa Davido aliosema hawajui walionekana wakitenda ilo tukio na baadae gari ilo lilikutwa nyumbani kwa Davido kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Lagos, pia imesemekana Davido ndo aliotoa maelezo mwili wa Tagbo ukatupwe Hospitalini.

Katika tukio lingine marafiki wawili wa Davido waitwao Olugbem na Chime walikutwa wamekufa ndani ya gari ya BMW kwny garage uko Banana island.Marehemu Tagbo na Davido enzi za uhai wake
Hapa sababu kama siyo dhuluma ya Pesa iliyotokana na drugs ( dawa za kulevya ) basi itakuwa ni Mbunye / Kokwa hakuna zaidi ya hapo.
 
Losser Bad

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
585
1,000
Mbona case iko partial....nani ni mjinga kiasi hicho afanye mauaji ni then atumie gari yake na atoke hapo akapark nyumbani. Enway police wafanye kazi yao
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,868
2,000
dah,kama ni kweli Tuhuma nzito sana hii....unaweza kujikuta upo ndani unanyea debe zaidi ya miaka 5,kwa sababu kwamba upelelezi haujakamilika...na mpaka kesi inaisha na hujakutwa na hatia tayari ashakuwa na mashabiki wengi sana wa muziki wake huko rumande!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom