GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu,

Uchawa unaendelea

Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.

Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.

Samia ni maji usipokunywa utaoga. Wanaompenda na wasiompenda wote wanafuatilia kampeni kwa umakini mkubwa.

Samia mitano tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Wakuu,

Uchawa unaendelea

Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.

Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.

Tatizo adhabu za mashoga hazijabainishwa waziwazi hapa Tanzania kama ilivyo Uganda.
 
Huyo jamaa wa wa ajabu nimeshangaa anavyosema anamshukuru mama sasa hivi wana tunduma hawaandamani..!!

Kasahau wana tunduma waliandamana kwa kumtetea yeye ubunge wake ili kura zake zisichakachukuliwe kipindi akiwa chadema..!! Anajizima data 😹

Kwa tunduma ilivyo Chadema ingeshiriki asingepata hata huo ubunge, watu wa pale tunduma wako tayari kuchagua hata jiwe Ila sio CCM hilo si geni kwake analifahamu fika..!!
Huyu chadema kaja hata kuchana nywele ilikuwa mtihani
Sahv Ana bwatabwata

Ova
 
Kwanini kumsumbua mama wa watu? Mwambie mtu mwingine asiye mwana ccm uone
 
Anashindana na kivuli chake atakosaje ushindi wa 100%. Kifupi tu ni kuwa wanachofanya CCM ni sawa na kupiga punieto to.
 
Huyo jamaa wa wa ajabu nimeshangaa anavyosema anamshukuru mama sasa hivi wana tunduma hawaandamani..!!

Kasahau wana tunduma waliandamana kwa kumtetea yeye ubunge wake ili kura zake zisichakachukuliwe kipindi akiwa chadema..!! Anajizima data 😹

Kwa tunduma ilivyo Chadema ingeshiriki asingepata hata huo ubunge, watu wa pale tunduma wako tayari kuchagua hata jiwe Ila sio CCM hilo si geni kwake analifahamu fika..!!
Umemaliza yote kongole kwa kuusema ukweli huu
 
Umemaliza yote kongole kwa kuusema ukweli huu
Tusipousema ukweli hata mawe yatasema..!!
Silinde katika vitu ambavyo hatakiwi kuviongelea vibaya ni Chadema na wana tunduma..!!

Bila ya hao asingekuwa hivyo alivyo, wangefanya reforms Chadema waingie angeona Tunduma ni watu wa namna gani..!!

Mwaka 2015 walimwambia agombee kwao Momba kwa tiketi ya Chadema na mkurugenzi akataka kugoma kumtangaza, wana tunduma walienda kumpigania mpaka wakamtangaza halafu leo hii anajifanya nyoko nyoko upinzani hakuna..!! Kwanza anagombea na nani?
 
Back
Top Bottom