Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
"Na niwaambie hata hao wametengeneza akaunti zao bandia, feki. Wanafikiri wamejificha sana huwezi kujificha kwenye hizi simu. Hivi vifaa vya kieletroniki vimefanya hata siri zetu ziwe hadharani.
Wengine tuna picha zao tukitembea mimi kwenye gari pale ninazo na nikiona mtu anaangalia hivi huyu mtu si anatafutwa hivyo na siku hiyo sasa kama wewe unahamasisha maandamano tukiwa na picha yako tukikuona ndio huyu hata kama ulikuwa unapita tu siku hiyo umesema bwana maandamano lazima tukukamate kwasababu si umeshatenda kosa. Kwa hiyo usifikirie kwamba uko salama sana. " - Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime akizungumza kupitia kituo cha redio cha Bongo FM