David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
Enyi wagalatia ni nani kawaroga?
ZZK `nimetoka kigoma,nimeaga kwetu'-hawa ndo vijana wasomi wa siku hizi wanao'aspire kuwa viongozi wakuu wa nchi hii!!! (na wewe pia Nchemba tunajiulizaga swali hilo hilo,tunavyoona maneno na matendo yako ndani na nje ya bunge-surely you are not spared!)
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

1.Inaelekea Taifa linakabiliana na ombwe la kiitikadi: sasa ni ukabila, ukanda na udini mtindo mmoja. Kwa mtindo huo miaka michache ijayo Tanzania haitakuwa na mshikamano wa utaifa ambao ndiyo umeiweka nchi yetu katika nafasi ya kuigwa na jamii zinazotuzunguka. Jitengeni na wanasiasa wanaotaka kuchochea ukabila, ukanda na udini.
2. Mwalimu alionya kuwa tuwaogope wanasiasa wanaotaka kuingia ikulu(kupata uongozi) kwa udi na uvumba. Wapuzeeni wote ambao wanaoutaka uraisi kwa sababu wengi wao wana uchu wa madaraka na ajenda za siri.
3. Naamini kuna Watanzania wengi wenye uzalendo na uwezo mkubwa wa kuitumikia nchi hii katika nafasi mbalimbali ukiwemo Uraisi. Lakini kawaida watu kama hao hawajitokezi mara moja. Wanahitaji kutambuliwa na kuhimizwa kujitokeza. Hivyo panueni wigo wa utafiti wa viongozi wanaofaa ndani ya vyama vya siasa katika ngazi mbalimbali-siyo tuu ngazi ya taifa. Pia tazama ndani ya serikali katika ngazi mikoa, wilaya , ubalozini, wizarani, vyuo vikuu nk. Tazama pia katika sekta mbalimbaili za kitaifa -wafanyabishara, asasi zisizo za kiserikali, majeshini nk.
 
Na sisi wamasai tunataka raisi awe lowasa makamu,pamoja na mawaziri manaibu mawaziri,makatibu wakuu na wakuu wa mikoa wote wawe wamasai
 
Lowasa?Boys II Men again? #wtf is wrong with you people?
Tufanye rotation ya vyama,tujenge demokrasia.Kuna watu wamejiwekea uhakika familia zao zimezaliwa kuwa watawala hata kama wajijua ni mapunguani.
Raisi kijana?nani?Nina hofu wengine walidanganya umri maana sura zao ni nzee tofauti na umri.
Tubadilike,tubadili mazoea.
 
Fikra, mawazo na hulka za watu aina ya akina Kafulila ni hatari kwa umoja wa Kitaifa. Kwao ni afadhali na DRC nyingine kuliko matakwa yao kutotimizwa
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Nimejaribu kutafakari kuhusu haya matamshi ya hawa jamaa naona wanasumbuliwa kwni unapo ona mtu mara kwa mara anallamika upande fulani wanajipendelea sisi hatupewi,fulani anapata mimi sipati jaribu kumchunguza huyo mtu kwani tabia yake itkua na walakini yaani mbinafsi sasa hawa mara zote wanalalamika chama fulani kina ukabila wengine kina udini sasa kama wote wanatoka huko alafu wanaleta mada za huko watokako nani hasa ni mkabila? Kama ni wapinga ukabila kwanini wasiseme atoke Rukwa,Songea au sehemu nyingine sasa hapa ndio utajua hawa watu wana asili gani na wanastahili nini katika jamii yetu hivi hawa jiulizi kwa nini wakigoma wanakaa Lindi, Kilimanjaro, Morogoro, Mbeya na sehemu kadha wa kadha katika nchi hii? kama dhambi ya ubaguzi imewajaa mioyoni mwenu mnasthili kupewa dhamana ya uongozi kweli hebu jaribuni kubadirika twendeni tukaijenge nchi katika misingi mizuri ambayo iliasisiwa ili tukawe na Tanzania ilio simama katika mshikamano na umoja huku tukipambana na umaskini,maradhi,Kufuta ujinga na Ufisadi

nawakilisha
 
"Kigoma tumeonewa sana" (na nani?), "kama ni demorcracia lazima mwaka 2015 rais na makamu wake watoke Kigoma" (vigezo vya kumpata rais ndani ya nchi ytu vikoje?).
Kuna vitu hapa naona hawakielewi, ni kama wanatangaza mgogoro na mikoa mingine/watanzania kwa ajilri ya nafasi zinazohitaji ridhaa ya watanzania.......and they are so poor strategically.
 
Whoever wants to be a president must tell us us how and when poverty will be eradicated from our rich country. Maendeleo yanaletwa na watu sio pesa. Tunahitaji elimu bora itakayotuwezesha kufikiri jinsi ya kujiletea maendeleo wenyewe na sio wawekezaji wanaotuzunguka kwa sasa wanaopora rasilimali zetu! Maendeleo sio maghorofa na magari. Maendeleo ni shule bora, hospitali bora zenye dawa na viwanda vyetu wenyewe hata kama tutanunua mitambo nje, na chakula cha kutoasha kwa kila mtanzania kwa bei poa.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

njaa kweli mbaya! lakini,
usije ukalia kama ulivyo lia mbele Mbatia!
 
wewe mroho wa nini?tuliokuwa kigoma tuliona na tunajua kuwa nassary alitamka,subiri video zimuumbue,mnafiki ni yule anayeyakana maneno yake.

tuntemeke vipi mambo??

Vipi panya wangu niwafiche nisiwafiche??kwa maana kwetu sisi wamakonde wa chale wale ni kitoweo kwetu,,naskia wewe na bosi wako kabwela mpenda kuwanga mmetangaza vita dhidi ya panya wangu

sasa panya wangu wamewakosea nini jamani??
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

kwnini Kafulila na Zitto msihamie CCM ili iwe rahisi kwenu kuukwaa urahisi na umakamu kuliko kutuvurugia upinzani.
 
kama mgombea kijana dili, basi hata kibajaji ni kijana, jk ampigi debe ili awe mgombea wa ccm 2015, vijana oyeee!
 
Mngejiuliza Kikwete alilikua rais kijana kafanya nini? Hivi inaweza kuja ikatokea Kafulila akawa rais wa TZ?.Labda kizazi hiki hakitakuwepo!
 
kafulila au kafulia? Wana jf naomba education background yake. Nina waswasi na uwezo wake wa kufikiri. Then watanzania tuwe serious na maisha yetu kwani najiuliza mtu kama huyu ambaye ni shallow minded kias hiki kapataje ubunge? This is a very cheap politician. Shame on you kafulia!
 
mmmmh Yaan nyie siasa ilishawashinda! Uchawi na ubaguzi umewamaliza! Mwenzako awe rais na wewe makamu wa wauzaji wa mawese kigoma!
 
Kafulila kikwetu kajambia,nakweli kajambia. Kafulia hyo kichwa kibaya ka shorwe.
 
Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi. Vijana wengi wasomi hawajui kuzitumia elimu zao. Kwa vile kafulila anataka rais lazima atoke kigoma,mi nadhani kigoma ijitenge ili iwe nchi impate huyo rais wake. Lakini vinginevyo hata kanda ya nyanda za juu nayo inataka impate rais wake. Ujana si tiketi ya kupata urais.
 
1; Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais.
2;Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi,
3; Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.
4;Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana,
5;Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana

2;wanakigoma wameonewa sana....."na nani???wanaungwa mkono kila kona ya nchi.........na nani???hao waliowaonea ndio wanaowaunga mkono?
3 Afrika kusini,ujerman na Malasia wanataka kuona rais kijana Tanzania...........wao wana rais vijana?ndio wanaopiga kura Tanzania??wanataka kijana kwa maslah ya nani?
4;Vyama vyote vya siasa wanataka rais kijana........so CCM-Membe?mana ndo afadhal ktk wanaotajwa had sasa..NCCR-Kafulila??TLP??au wote wamesema wanamtaka Zitto?
5;Kikwete mwenyewe??????WTF
Hii haiez kua kauli ya Kafulila achen kumpaka matope mheshimiwa.
 
Labda rais wa wachawi hapo kapita bila kupigwa.Halafu kijana unakumbuka kile kilio ulichomlilia mwaume mwenzio?chezea mbatia wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom