David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
kazi kwenu mimi nashughulikia mdhamana wa sheikh ponda sasa kama mtu anatoka kigoma ni mrundi hata sheikh ponda ameambiwa ni mrundi mbona DR SLAA NI MUIRAQ AMETOKA BAGHDAD

Tehteh! IRAQ ya Nebuchadnezar ? So ana undugu na Nebuchadnezar? Kweli huyu jamaa ni Rais 2015. Maana hakuna aliyewahi kuitawala Iraq akaiweza zaidi ya Nebchadnezar wengine wote itakuwa mshike mshike kama tulivyoona kabla ya saadam na wakti wake hata tunavyoona sasa hivi.
 
watanzania ndo waamuzi promo zimekuwa nyingi hadi zinatupa wasiwasi. kama anaona chadema kuna ukabila na udini sasa anafanya nini huko? mbona vyama vipo vingi.yeye kama anakubalika basi haina haja hata akianzisha chama chake leo hao wanaomkubali watamuunga mkono tu, tumechoka na madai yasiyo na mashiko kama mtu anaona anakubalika bila ya chadema basi aende hata JAHAZI ASILIA wanaompenda watamfuata hukohuko.

kama ZITTO ni MRUNDI kwasababu ametoka Kigoma na DR SLAA SI MUIRAQ AMETOKA BAGHDAD?
 
Aya tumekusikia nenda chukua posho yako kwa zk wapelekea bibi zako Rwanda maana ela yako ya ubunge inabidi ukusanye mtaji maana safari yako iko ukingoni.
 
kazi kwenu mimi nashughulikia mdhamana wa sheikh ponda sasa kama mtu anatoka kigoma ni mrundi hata sheikh ponda ameambiwa ni mrundi mbona DR SLAA NI MUIRAQ AMETOKA BAGHDAD
something is very wrong here?
 
Haka kajamaa kalisoma pale tanga tech alitoka na four nilifikiri alionewa kumbe mbumbu kabisa ni mbunge waaina gani utoe mawazo ya kijinga namna hii wengine hasira hazii shi mpaka nimle kwenzi subiri ukatize anga zangu nakupa mkwenzi
 
Masikini kafulila, kama walikuwa na uwezo kwanini naye asigombee?au anamaanisha Zitto ana uwezo kw ahiyo ni wote.Wana umoja wa kijinga sana. kafulila ajue wazungu wanatoa support kwa kiongozi wa chama kinachowakilisha mainstream.Na hawaongi na individual, soon akitoka CDM dunia ya Zitto itasimama vibaya kisiasa.
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

This is the most stupid idea for 2012. Tanzania ina mikoa mingi sana ambayo haijatoa waziri mkuu acha kutoa raisi wa nchi. Sasa kwanini iwe lazima kigoma?. Tumia kichwa kwa kufikiri, usitumie masaburi
 
Napata shida sana na mentality ya hawa vijana...
 
kwa niamba ya wasukuma wa shinyanga lazima raisi ajae awe msukuma tana pius ngwandu anakubalia na vyama vyote vya siasa na nje ya nchi anakubalika..
 
Soma hii kauli; "wazee wa umri kama wangu wasahau habari ya urais 2015." -JK ."Wote waliozaliwa kabla ya uhuru hawawezi kutufaa kuwa marais mwaka 2015 wawaachie vijana kwani hz ni nyakat za mapinduzi ya kiuchumi,vijana ndo wanaweza kuendana na kasi hii ya mapinduzi haya". ZK paraphrased. Sasa uje kauli za hawa mis.u.k.ule wengine kina makamba jr.na kafulila,na na mawasiliano ya mara kwa mara ya jack zoka na zzk unapata taswira ya kitu kimekuwa kikiendelea kupikwa kwa muda mrefu sasa.Kwa leo naweza sema hatujaona kitu bado. Nashangaa kwenye hizo ngazi walizozifikia kisiasa ilhal wanadisplay viwango vinyonge vya kiakili kupitia matamshi yao? Ninahofu juu ya uwezo wa uelewa wa watz manake tunayasikia tunayaona na tunayaachia tu...
 
Masikini kafulila, kama walikuwa na uwezo kwanini naye asigombee?au anamaanisha Zitto ana uwezo kw ahiyo ni wote.Wana umoja wa kijinga sana. kafulila ajue wazungu wanatoa support kwa kiongozi wa chama kinachowakilisha mainstream.Na hawaongi na individual, soon akitoka CDM dunia ya Zitto itasimama vibaya kisiasa. Sasa anamlazimisha nani kuwa lazima rais atoke kigoma?CDM?CCM?NCCR? au watanzania?Masikini "kafulia mbaya" kawa mtumwa kirahisi,ka sacrifice kila kitu hata maisha yake kisiasa kwa ajili ya Zitto?
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Wadau mimi sijui kama source ya huu umbea ni rasmi sababu haikutajwa. Lkn kitu kimoja ni hakika wakati wa kujua nani atakuwa raisi wa nchii hii haujafika. kinachooendelea sasa ni propaganda. nimjuajo kafulila ni mropokaji lakini kama mwanasiasa makini hawezi kusema ni lazima raisi na makamu watokee kigoma. Inawezeka tatizo la uchu wa madaraka limekuwa la vijana tunaowategemea waikomboe nchi hii kutoka ukoloni mambo leo.

Hatimaye Mungu atatupatia raisi bora, bila kujali anatokea wapi. tutayajua haya 2015!
 
Jiulize Mh Kafulila kwa nini wewe haukubaliki katika kila chama unachokwenda...tatizo lako hujui tofauti ya kiburi na msimamo....pia wewe haushariki,kila kitu unajua.....na lengo lako ni kuwa juu ya wengine tu...
Katika post yako ya leo....nimekutambua wewe ni mtu wa aina gani....unataka Zitto awe Rais kwa sababu wabunge wengi wanamuunga mkono,anatoka kigoma,ni zamu ya kigoma.....unapoleta ukanda na ukabila halafu ukasema Rais atoke wapi....hivi kuna wakumshinda John Magalle Shibuda? Kwa sababu ndiye anayetoka ukanda wenye watu wengi.....ogopa sana kusifiwa na maadui.....viongozi wabaya after independence ni wale waliokuwa wakisifiwa na wakoloni!
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Wadau mimi sijui kama source ya huu umbea ni rasmi sababu haikutajwa. Lkn kitu kimoja ni hakika wakati wa kujua nani atakuwa raisi wa nchii hii haujafika. kinachooendelea sasa ni propaganda. nimjuajo kafulila ni mropokaji lakini kama mwanasiasa makini hawezi kusema ni lazima raisi na makamu watokee kigoma. Inawezeka tatizo la uchu wa madaraka limekuwa la vijana tunaowategemea waikomboe nchi hii kutoka ukoloni mambo leo.

Hatimaye Mungu atatupatia raisi bora, bila kujali anatokea wapi. tutayajua haya 2015!
 
Inavyoonekana ''Misukule ya Zitto'' imesambaa kwenye vyama vingi, yaani utaikuta CHADEMA, NCCR, CCM, CHAUMA nk
 
Wanajamvi!
Ninavyokumbuka kisanga kilichomkumba Hamad Rashid kule CUF kiliendana na kisanga cha aina hiyo hiyo cha Zezeta Gwagula Kafulia kujambishwa NCCR-Mageuzi kisha kukimbilia mahakamani na kuwa wabunge wa mahakama. Nilifanikiwa kupata taarifa ya mahakama kuondoa pingamizi la HR la kukataa kutimuliwa CUF hivyo kapewa ridhaa ya kutimkia ADC, Swali je, Zezeta Gwagula Kafulia katimkia wapi au uamuzi wa mahakama bado?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom