Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,941
Zitto hana uwezo wa kuwa rais. Saizi yake ni kuwa mbunge tu. Sababu ni mbishi na mnafiki!
Hapo kwenye ndio walivyo wakigoma... na zitto + kafulila ndizo chatacter zao hasa hizo
Zitto hana uwezo wa kuwa rais. Saizi yake ni kuwa mbunge tu. Sababu ni mbishi na mnafiki!
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma
" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015
duuh! kwa hiyo kigoma wanataka Rais atokee kwao alaf iweje?huu ndio ukabila sasa ifike tukue kiakili swala la Zitto kuwa Rais apew mda Urais sio sehem ya mazoezi lakini mleta uzi badilika sio sawa kigoma kuwa wasindikizaji kwani ni mikoa mingapi imetoa Rais utakuwa umetumwa na Kagame mnyarwanda ww kazi yenu huijui endeleeni kubana pua na music utakuwa ila Urais bado sana hakuna vipaji vya siasa za kweli hapo kigoma huyu Zitto mwenyewe itafika sehemu atashitukiwa maana analazimisha kuwa mwenyekiti kwa nguvu utazani yeye ndio anafaa sana huku amekuwa mfa maji anashika hili ajamaliza anaenda lingine tusubiri ya uswiz sina maana kuwa afai ila apewe mda
Comrade Kafulila, Baada ya kutimuliwa chamani, ukapiga magoti na chozi tele mbele ya Mwenyekiti wako Mbatia - je ulikuwa uwoga wa maisha au unafiki?ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga.
Kafulila tunamjua yeye na zitto na ninaomba zitto ni kwambie watu wana tambua mbinu zako.
Na ukikosa nafasi ya kuwania urais hama chama ukipenda.