David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

Status
Not open for further replies.
kafulila na sisi wasukuma wa mwanza tena ni wengi kuliko nyinyi tunataka raisi na makamu na waziri mkuu atoke kwetu,tumechoka kuonewa.wachaga nao wadai raisi na waziri wa fedha,sijui wanyakyusa watadai nini?.kafulila ni mawazo ya kijinga kabisa si kwamba zito hawezi ila ukanda na mkoa si vigezo sahihi
 
KIGOMA si ndio kule ambao asilimia 75 ya watu wa huko ni Warundi na WaCongo???????? Sasa nao wanataka URAIS? Kweli kazi ipo 2015.

Sidhani kama unaakili kichwani. Nenda chooni bila shaka umebanwa
 
kuutaka urais si kosa,bali lazima upime kwanini chama tawala wanatamani wewe ugombee.????????????????
na kwanini wanamuogopa mgombea aliyepita.?
thinkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.
 
Nina mashaka sana kufikiri kwa namna hii eti atoke Kigoma huu si ukanda au ukabila kwa nini asitike Iringa mtwara au Lindi? huu ni ubnafsi wa kijifkiria mwenyewe. Eti lazima awe kijana ? kwa kigezo kipi? kwa lipi? hapa ni hoja dhaifu mno mno watafute pionti nyingine kwa hii. kama sifa ni atokee kigoma au awe kijana nadhani hizi sifa ni dhaifui kwa mtu dhaifu labda kuwa RAISI WA BODI YA MAWESE
 
Mimi sioni mantiki ya ukabila,kama tukiendekeza ukabila basi wasukuma watawala milele!
imefika wakati sasa na nyanda za juu kusini kutoa raisi{iringa,ruvuma,mbeya na rukwa} nia tunayo, sababu tunayo na uwezo tunao.
 
Lowasa nae ni kijana?ok sio mbaya rais kua kijana ila sio lazima aanzie kigoma kwani inchi hii ina kona nyingi za kumtolea rais wa inchi.
 
CHADEMA mimi nashindwa kuwaelewa Mh zito akigombea uraisi kina shida gani?kama kukomaa mbona anaonekana kukomaa zaidi kisiasa zaidi ya viongozi karibu wote wa chadema yeye ni mchapakazi si kama viongozi wengine waropokaji tu na wala si watendaji,

Ujue kinachoisumbua CHADEMA ni ukabila na ndiyo maana hawataki mgombea urais atoke nje ya Arusha na kilimanjaro,uongozi wa juu wa chadema hawawezi kubali ata kidogo Mh Zitto awe raisi kwanza si mkristo na pili si mtu wa kanda ya kaskazini hawa watu udini na ukabila unawasumbua, Mh Zito njoo CCM hakuna udini wala ukabila!

watanzania ndo waamuzi promo zimekuwa nyingi hadi zinatupa wasiwasi. kama anaona chadema kuna ukabila na udini sasa anafanya nini huko? mbona vyama vipo vingi.yeye kama anakubalika basi haina haja hata akianzisha chama chake leo hao wanaomkubali watamuunga mkono tu, tumechoka na madai yasiyo na mashiko kama mtu anaona anakubalika bila ya chadema basi aende hata JAHAZI ASILIA wanaompenda watamfuata hukohuko.
 
Kama mnakumbuka mwaka 1995 KUTOKA CCM MTU WA KWANZA kutangaza nia alikuwa mzee Pius Msekwa tena litangaza mapema sana baada ya hapo walikuja BOYS 2men LAKINI BEN ze Nkapa alikuwa wa mwisho na ndiyo alikuwa chaguo la wenye chama chao.Jamani hivi vyama vina wenyewe whether u like or not wanawajua wagombea waadilifu muda ukifika mtaona yawezekana hata dr.slaa asigombee lakini wakafanya kazi ya kumtengeneza mgombea anayekubalika kama alivyofanywa Ben ze nkapa.chezea chama weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
du hapo kwenye red umenikumbusha mbali,2005 walipoingia madarakani walikuwa moto hao hadi nikajiuliza malaika hawa watabadilisha maisha ya watanzania lakini mmmh msije mkaninukuuu
 
Zitto mwogope Mungu! MY TAKE: Mtanzania yeyote HATOCHAGULIWA kuwa raisi wa tz kwa 7bu yy ni mkristo, muislam au mpagan, au kabila flan au anatoka wapi NI UPUUZI + UPUMBAV SANA!Sifa mahsusi atakazokua nazo ndio tket yke, TZ inahtaj dira mpya yny HOPE!
 
Sidhani kama unaakili kichwani. Nenda chooni bila shaka umebanwa
Umekurupuka chooni bila kuchamba,rudi kajimwagie japo kopo moja la Tan Bond ndio urudi hapa kutafuta umaarufu. Nguchiro mkubwa wee.
 
"HILI NI TATIZO" Walianza Nyinyiemu kuwa na dhambi ya makundi, wakafuata Eni-nyinyi-si-ara, wakafukuzana, sasa mumeanza ninyi tena. Matatizo ya makundi kabla hata hamjakaribia hiyo Ikulu, je! Mkiingia itakuwaje?????? Tuna anza kupoteza Imani nanyi. "Ni fahari kwa kunguru akutapo panzi wakipigana"
 
These guys are goons. Zitto and Kafulila. Waende zao Congo au kama ni Rwanda. They are too much...
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Kigoma mumeonewa kwani Makabira yote yamewahi kutoa Raisi? acha ulimbukeni Suala la Raisi hatuangalii kabila unaangali, Uwezo wa mtu Kutuongoza na kutufikisha Tunapopataka
 
dah muke ya muzungu we ni mwanaume kweli unaetamani kuwa muke wa mzungu?
Tanzania mnaipeleka wapi? Kama kila mkoa unataka utoe Rais ili iweje? Je waliowengi nao wakiamua kwamba wanataka raisi atoke kwa itakuwaje? Tatizo la vijana wengi wasomi wa Tanzania ni mbumbumbu na usomi wao hauwasaidii wanakomaa mishipa ya shingo kwa kuongea majungu fitina na umbea kama huyo Kafulili Mbunge mwenzake wa nccr Machali alisema ni mbaya sana huyo mbea kama nini
Naona cdm tusipoteze muda kujadili thread za kishenzi za umbea ambazo zinafanya watu waache kufanya kazi na kufikiri majungu yao wakati wao wanaendelea kufanya kazi zao acheni waongee wasipojibiwa watanyamaza tu
 
Last edited by a moderator:
Kigoma mumeonewa kwani Makabira yote yamewahi kutoa Raisi? acha ulimbukeni Suala la Raisi hatuangalii kabila unaangali, Uwezo wa mtu Kutuongoza na kutufikisha Tunapopataka

kazi kwenu mimi nashughulikia mdhamana wa sheikh ponda sasa kama mtu anatoka kigoma ni mrundi hata sheikh ponda ameambiwa ni mrundi mbona DR SLAA NI MUIRAQ AMETOKA BAGHDAD
 
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma

" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"

----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015

Nimegundua kwanini walimuunga mkono walipo rudi waka mkana.
Inaonekana Zitto alitumia SAYANSI ya KIENYEJI kuwapuimbaza wakina Mdee na Nassari. Baada ya Nguvu kuisha ndio wakajitambua na kuanza kulalamika wakati walishapanda jukwani Kigoma.

Inaonekama hii Sayansi ni noma anaweza kupumbaza watanzania wote kwa muda na tukija kustuka yupo ikulu kwa tiketi ya CHAUMMA na katiba kashabadilisha kuwa Rais wa Maisha huku tukiwa tumepumbazwa tunashangilia tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom